Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Kwanini umtibue?Sasa ukitakwa upendwe mkubalie mwanaume shortchasis...very romantic..wanajua kucare thou wana hasira balaa akitibuka😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini umtibue?Sasa ukitakwa upendwe mkubalie mwanaume shortchasis...very romantic..wanajua kucare thou wana hasira balaa akitibuka😁
Vikombe vinagongana sembuse binadamu?Kwanini umtibue?
Sure ..naprefer mwanaume mfupiKila mtu ana haki ya kupendwa na kupenda anachoona kinamfaa.
Kisichokufaa wewe, chamfaa mwingine.
Nini banaa wewee stakiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hebu hukoo 🤣🤣🤣Mwisho wa siku atatamani kusuguliwa kijambio chake 🙌
Bora unetutetea sie wafupi wenye mihela.Wakiwa na hela mbona warefu tuu,tena tunawaona "majentomeni" kabisaa yani,Yani full package..
HILI LIMENILIZA SANA 🤣Inasikitisha sana mkuu 😭
Anataka tumfukue mtaro huyu....ngoja tumpe anachotakaMwanaume anaanzisha Uzi kuwa havutiwi na wanaume wafupi daah 😄😄
Dunia inaelekea wapi?
Uanaume unaelekea wapi?
Hebu tuone unavoliaHILI LIMENILIZA SANA 🤣
Si hats mkundu wako ni mrefu shida iko wap wewe bwegeSiwezi kuwa mfupi ata iweje mimi ni tall pole
Suala la lishe pia kwa muda mrefu linachangia katika maumbile ya watu.Wewe ni mwanaume unatamani ama unapenda mwanaume wenzako awe mrefu ili iweje, akupige miti?
Hakuna mtu anachagua mzazi, ufupi ama urefu ni matokeo makubwa sana ya urithi kutoka kwa wazazi. Hakuna mtu anapenda kuwa mfupi kama ingekua uchaguzi wake.
Tunahitajika kweli? Ebu njoo tuyajenge nione kama kweli tunahitajika. Yaani ushauri wa huyo jamaa kwamba mna haki ya kutokutupenda ni mbaya sana.Jaman,bado mnahitajika sana...
Huwezi pendwa na wote mkuu
Wanaume wanazidi kupungua.Mwanaume anaanzisha Uzi kuwa havutiwi na wanaume wafupi daah 😄😄
Dunia inaelekea wapi?
Uanaume unaelekea wapi?
🤣🤣🤣Tunahitajika kweli? Ebu njoo tuyajenge nione kama kweli tunahitajika. Yaani ushauri wa huyo jamaa kwamba mna haki ya kutokutupenda ni mbaya sana.
Warefu wana raha sana.
Ngoja nije pm chap😋Tunahitajika kweli? Ebu njoo tuyajenge nione kama kweli tunahitajika. Yaani ushauri wa huyo jamaa kwamba mna haki ya kutokutupenda ni mbaya sana.
Warefu wana raha sana.