Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Amenishangaza kwa kweli.

Huenda jamaa ni chakula yani bwabwa.
 
Wapo vizuri sana wanajua kuhandle mnooo sana issue hasira Zipo karibu sana kitu kidogo tu ni mikiki
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Tatizo ni kukuta janaume refu ila akili yake ni mbilikimo unalikuta limekaa siti ya mbele kwa mwamposa ...wanaume mrefu ila Akili zake kama SAMIA BUSHIRI
 
Ila ujue Mungu anakusikia na kuliona majanga ya Dunia Yako mengi Kuna siku utatamani iwe mfupi
 
Ushasema ni uumbaji Sasa kukosoa kunatoka wapi. Kwa taarifa Yako unachokisema hata sio shida zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…