Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF

Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF!
Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment!
  1. Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa
  2. Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa
  3. Wapo wanandoa hunyimana ili kumtunzia mchepuko nyege
  4. Wapo wanaokula vumbi na juice ya tende kwa ajili ya gemu
  5. Wapo wanaoendesha rafu na kutanua barabarani kwa mwendo hatarishi ili kuwahi miadi
  6. Wapo wanaonyoa sehemu za siri kwa ajili ya gemu!
Hadi hatua ya mwisho mtu kashajisaidia hadi haja kubwa yuko safi tayari kwa mpambano halafu apokee ujumbe!
"Sorry baby, we can't make it today, may be tomorrow"

Hakika nawambie maumivu yake huwa ni Mara mbili ya yale ya kuahirishwa mechi ya Simba na Yanga! MJIFUNZE KUTOKANA NA HILI
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Huhuhu vijana mnapata wapi hizo hela za kuchezea?!
 
Kumbe ndio inakuaga hivi? Binafsi nimekoma..... Samahani kwa yeyote ambae nilishamletea usumbufu wa hivi.
 
Back
Top Bottom