Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Katika wanawake 100 unaweza pata 2 wenye akili kama hizi hasa tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmmmmmmmmmmmmh
 
Katika wanawake 100 unaweza pata 2 wenye akili kama hizi hasa tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke anayetafuta pesa yake kwa mambo yake huwa anaheshimu sana matumizi ya pesa,huyu naweka ndani August Mungu akijaaria,maana tangu kufanya vibiashara vyake amenitia moyo sana.
 
Nimepanga kukususia mwaka mzima huu...

sijui nini kimenifanya nijibu hii makitu yako...

Mahaba niue...
 
Tuoneane huruma 🙁
 
Kwani nyie mkikaa baa pesa ngapi mnazicha kwa siku
Leo hii nywele tu siku mbili tatu kufumuliwa unaona hasara acheni ubinafsi wanaume
 
Kwani nyie mkikaa baa pesa ngapi mnazicha kwa siku
Leo hii nywele tu siku mbili tatu kufumuliwa unaona hasara acheni ubinafsi wanaume
sa hapo hujamuoa, ukimuoa.?
 
Nimepanga kukususia mwaka mzima huu...

sijui nini kimenifanya nijibu hii makitu yako...

Mahaba niue...

Babuuuu, vibaya hivyo lakiniii....

Ukinisusia ujue umewapa ushindi (.........) wa kunizengea.

Kwani Mahaba yameshakukifuu.....

Nna kiu na vuruga leo.... Ila iwe na chips dume pembeni halafu iwe lainiiii...... Kama naniiiii.... Hehehehehehehehhee

Mwaaah kwenye laini.....

K' Matata.
 
Kumbe pesa zao huwa zinawauma hawatoi kirahisi rahisi eeeh[emoji848]

"Stand for the truth always stand alone"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…