Hahahahhahhaaaaa
Babu
Asprin ndo huwa ananiambia hivo huku akiwa ameinama na mikono yote ikishikilia maliwato ya mbele kuashiria huduma ya kwanza inahitajika haraka vinginevyo ata rest in peace in no time aahahahahahahhahaaa
Babuuu si wajua shimo huwa halijai..... Nimekumiss sijakuchokoza siku nyingi.... Mwambie Sky apunguze penati Kasie hana madhara hehehehehehehehee
Najizuia kwenda saba tatu, ila miguu ishavaa skuna.... Yote hii mbuzi vuruga....
Najitahidi nijipikilishe ili nisitoke sijui ntaweza...