Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Mfungulie biashara awe anaasuka kwa pesa yake anayopata,trust me atanyoa na kudai anataka abadili muonekano,huo ugonjwa nilishautibu kabisa,maana alikuwa anasuka kila wiki nywele za 30,000/= kwa mwezi anatumia 120,000= kusuka tu.
Nikaona isiwe tabu nikamshirikisha idea ya ujasiriamali akasema anaweza nikampa mtaji,Mungu kasaidia mambo yake yanaenda vizuri kwa wiki hakosi laki kama faida hakuchukua muda akanyoa nywele zikabaki tu fupi huwa anasuka mara moja moja na kwa matukio tu,huwezi amini hata akikuomba hela ya nguo ukimpa 80,000/= anaihemea mzigo kwanza faida ikipatikana ndipo ananunua nguo,
Kama una malengo naye fanya hivyo.
Katika wanawake 100 unaweza pata 2 wenye akili kama hizi hasa tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me nahisi aliyemloga demu wangu ameshakufa.

Juzi J'mosi demu wangu kaniomba elfu 40 kwa ajili ya kusukia na nauli mana anapotaka kwenda kusukia ni mbali kdg na hapa mtaani, nkampatia jumla elfu 50 nikamwambia itakayobaki atanunua chakula, badae alivyorudi kwa kweli alipendeza sana mpaka nkatamani kumtongoza tena hahah..!

Sasa leo asubuhi anatuma sms et ndo anamalizia kufumua zile nywele.

Yani mpaka muda huu sijaamka kitandani na sijajibu hy sms mana tayar ameshaniaribia siku yangu.
Mmmmmmmmmmmmmmh
 
Katika wanawake 100 unaweza pata 2 wenye akili kama hizi hasa tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke anayetafuta pesa yake kwa mambo yake huwa anaheshimu sana matumizi ya pesa,huyu naweka ndani August Mungu akijaaria,maana tangu kufanya vibiashara vyake amenitia moyo sana.
 
Hahahahhahhaaaaa
Babu Asprin ndo huwa ananiambia hivo huku akiwa ameinama na mikono yote ikishikilia maliwato ya mbele kuashiria huduma ya kwanza inahitajika haraka vinginevyo ata rest in peace in no time aahahahahahahhahaaa

Babuuu si wajua shimo huwa halijai..... Nimekumiss sijakuchokoza siku nyingi.... Mwambie Sky apunguze penati Kasie hana madhara hehehehehehehehee

Najizuia kwenda saba tatu, ila miguu ishavaa skuna.... Yote hii mbuzi vuruga....

Najitahidi nijipikilishe ili nisitoke sijui ntaweza...
Nimepanga kukususia mwaka mzima huu...

sijui nini kimenifanya nijibu hii makitu yako...

Mahaba niue...
 
dah yale yangu ya buku 70 pole mkuu yani kwenye nywele tunaumia sana ikifika uso tunaumia, kiatu nguo dahh mkuu tutafute namna ya kuongeza kipato ili tuwahudumie sasa tunafanya nini zaidi ya hayooo, ila nao wabadilike na wawe na huruma unakuta mtu hatujajenga hata chumba ila tunaombana hela za saloon kila week watoto wa kike mtuonee huruma jamani
Tuoneane huruma 🙁
 
Kwani nyie mkikaa baa pesa ngapi mnazicha kwa siku
Leo hii nywele tu siku mbili tatu kufumuliwa unaona hasara acheni ubinafsi wanaume
 
Nimepanga kukususia mwaka mzima huu...

sijui nini kimenifanya nijibu hii makitu yako...

Mahaba niue...

Babuuuu, vibaya hivyo lakiniii....

Ukinisusia ujue umewapa ushindi (.........) wa kunizengea.

Kwani Mahaba yameshakukifuu.....

Nna kiu na vuruga leo.... Ila iwe na chips dume pembeni halafu iwe lainiiii...... Kama naniiiii.... Hehehehehehehehhee

Mwaaah kwenye laini.....

K' Matata.
 
Mfungulie biashara awe anaasuka kwa pesa yake anayopata,trust me atanyoa na kudai anataka abadili muonekano,huo ugonjwa nilishautibu kabisa,maana alikuwa anasuka kila wiki nywele za 30,000/= kwa mwezi anatumia 120,000= kusuka tu.
Nikaona isiwe tabu nikamshirikisha idea ya ujasiriamali akasema anaweza nikampa mtaji,Mungu kasaidia mambo yake yanaenda vizuri kwa wiki hakosi laki kama faida hakuchukua muda akanyoa nywele zikabaki tu fupi huwa anasuka mara moja moja na kwa matukio tu,huwezi amini hata akikuomba hela ya nguo ukimpa 80,000/= anaihemea mzigo kwanza faida ikipatikana ndipo ananunua nguo,
Kama una malengo naye fanya hivyo.
Kumbe pesa zao huwa zinawauma hawatoi kirahisi rahisi eeeh[emoji848]

"Stand for the truth always stand alone"
 
Back
Top Bottom