Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikandamize ili nipate nini mkuu humu JF?usitukandamize wanaume kwa kutafuta huruma ya wanawake wa hapa JF
Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala nae na kuamka nae.
Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea. (mlevi mbwa) Lakini ana mke na watoto.
Kuna wale anajua mpaka bei ya kitunguu na nyanya, Yaani kila senti anataka kujua imetumikaje.🙌
Mwingine hasira hazimuishi kidogo tu kapaniki.
Hizi agenda za kuwatetea wanawake inabidi ifike mahala ziishe.Nikandamize ili nipate nini mkuu humu JF?
Wapi nimesema wanaume wote tuna changamoto kama hizo hapo juu? Mpaka uone nakandamiza?
Nimesema yale tu yakawaida ambayo hata sisi wenzio wa nje ni changamoto.
Pole sana mkuu inaonekana yamekusibu pia.Hizi agenda za kuwatetea wanawake inabidi ifike mahala ziishe.
Hawa viumbe ni hatari sana, ukibahatika kuishi nao utaelewa naongea nini mkuu wana mabalaa sio mchezo, wanaume tunalishwa vitu vya ajabu sana, mwanamke anataka akuue amiliki mali.
Siku ukibahatika kupata mke utakuja na fake ID kuutukana huu uzi wako, wanaume tunakufa na tai zetu shingoni hatuna wakumuambia tutaonekana dhaifu, na ndio maana tunakufa mapema kuliko hao wenzetu.
Tunawafumania wanawake zetu mara nyingi sana tunaumia sana lakini tunajipa imani iko siku yataiisha, unajizima data kumsamehe for the sake of children na upendo ulionao kwake.
Ila yeye sasa akufumanie watajua wazazi wako na wake, watoto, majirani na mashosti zake.
Au naongeaa uongo wakuu?
Hujui fegi zinanuka hadi kwenye jashoWavuta sigara tunaojielewa huwa tunapiga mswaki kabla ya kupanda kitandani