Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...[emoji23][emoji23] Nashukuru sana,.
aisee ,kafia getoUshajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?
Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
AlikutafunaKitambo icho kuna mkaka alitoka TA kunifata dar
Mitandao hii hapana [emoji119]
Sina bundle ninunulie kabisa na bundle la mwezi.Usiende ngoja nikutumie ticket on line.
Bando la mwezi litapunguza concentration bana, otherwise we njoo tu hapa Kuna WIFI full network.Sina bundle ninunulie kabisa na bundle la mwezi.
Alf nitumie na pesa ya emergency.
Yeye mwenyewe ni kama huyo manzi tu.Kwahiyo una maana Kakosea? Na angekula nauli ungekuja na Uzi pia?
Kweli mapenz yanakifu
Nimefanya hizo SanaYes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.
Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.
Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.
[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.
Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
Subiri akishafika Ukimzingua au akikuzingua utaleta mrejeshoNitajuaje
Unaona yupo sahihi!?Kwanini.