Wanawake mna roho ngumu sana

Wanawake mna roho ngumu sana

Ushajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?

Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
aisee ,kafia geto
 
Mtu kaja malalamiko, asipotokea yule tapeli, na umpokee vizuri huko,asiwe na malalamiko yoyote mkuu.
 
Sina bundle ninunulie kabisa na bundle la mwezi.
Alf nitumie na pesa ya emergency.
Bando la mwezi litapunguza concentration bana, otherwise we njoo tu hapa Kuna WIFI full network.
Ukipata emergency yoyote just call my number,nitakuhudumia popote utakapo kuwa.
 
Yaani wewe unafikiri umefuatwa wewe?Wewe umetoa nauli tu na ni kama Back up tu ila yupo ambaye ni targeted
 
Hapo kilichomleta ni DSM wanawake wengi wa mkoa wanapenda safari za Dar
 
Kwahiyo una maana Kakosea? Na angekula nauli ungekuja na Uzi pia?
Kweli mapenz yanakifu
Yeye mwenyewe ni kama huyo manzi tu.
Ni vile kati yake na uyo dem yeye ndo ana pesa. Ingetokea yeye hana na manzi anazo basi yeye angeenda kuifata mbunye...

Na kama manzi angekaza, angejitutumua amfate yeye.
 
Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.

Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.

Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.

[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.

Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
Nimefanya hizo Sana

I met them Facebook.. mawasiliano over 2months Kisha siku mna meet ndo mnakulana Hadi asubuhi,

Mwengne kapanda gari kilometa 260 hivi Hadi kwenye timu ya nchemba ilipo hatukuwahi onana just picture kwa miezi minne hivi ,afu mnaonana mnalala pamoja Hadi panakucha siku tatu anarudi zabibu zinapopatikana kwa wingi
 
Watanzania wengi wakienda nchi za watu na mentality hizi Ni majanga jamn Figo zinauzwa, dunia ya leo unyama ni mwingi do not trust anybody hata Kama ni demu hasa foreigners humjui ni kua makini
 
Back
Top Bottom