reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Hana shukrani km mbwaaKwahiyo una maana Kakosea? Na angekula nauli ungekuja na Uzi pia?
Kweli mapenz yanakifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana shukrani km mbwaaKwahiyo una maana Kakosea? Na angekula nauli ungekuja na Uzi pia?
Kweli mapenz yanakifu
Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.
Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.
Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.
[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.
Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
[emoji23][emoji23] kwamba target yako hawezi kuja mpaka miezi sita!!.Kuna kitu kinaitwa targeted Market, yani level yako ya soko.
Wewe umetarget wanawake wa hovyo hivyo, sikulaumu.
Target market yangu hawezi kuja hata iweje, na itachukua hata miezi 6.
Na mimi pia, siwezi muita mwanamke low level wa kiasi hicho.
Kwa hiyo wewe unavyomshangaa ndo mimi nakushangaa, maana ujasiri uliona ni wa ajabu.
Cheap, cheap, cheap, is very expensive.
😀 Dodoma CityYes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.
Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.
Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.
[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.
Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
Hatari kweli kweliUshajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?
Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
Yaani km 45 tu unaona nyingi?Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.
Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.
Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.
[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.
Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
Anaona mbaliii , ukute alitumia nauli kamili .... Kwa hapo unatakiwa unatuma laki 1 na nusu hivi Bado kurudi 🙈😀 Dodoma City
mleta mada anaonekana mgeni sana kwenye haya masuala 😂Anaona mbaliii , ukute alitumia nauli kamili .... Kwa hapo unatakiwa unatuma laki 1 na nusu hivi Bado kurudi 🙈
Hahaha hata wanaume pia wanasafiri sn tu ,Wana roho ngumu piaKitambo icho kuna mkaka alitoka TA kunifata dar
Mitandao hii hapana 🙌
Ukiona manyoya,ujue kashaliwa huyo.Aisee mgogo wa watu
Nikitumaga nauli sipigi cm kuuliza chochote mpaka muhusika anitafute mwenyewe, nakausha kama sina habari lakini nakuwa na ghadhabu kama nyati [emoji23][emoji23].Wakila nauli mnalalanika wakija mnalalamika bro kula mbususu acha wenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ghadhabu ya nini wakati huna habari naye😁Nikitumaga nauli sipigi cm kuuliza chochote mpaka muhusika anitafute mwenyewe, nakausha kama sina habari lakini nakuwa na ghadhabu kama nyati [emoji23][emoji23].
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app