Wanawake mna roho ngumu sana

Wanawake mna roho ngumu sana

Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.

Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.

Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.

[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.

Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.

Kuna kitu kinaitwa targeted Market, yani level yako ya soko.

Wewe umetarget wanawake wa hovyo hivyo, sikulaumu.

Target market yangu hawezi kuja hata iweje, na itachukua hata miezi 6.

Na mimi pia, siwezi muita mwanamke low level wa kiasi hicho.

Kwa hiyo wewe unavyomshangaa ndo mimi nakushangaa, maana ujasiri uliona ni wa ajabu.

Cheap, cheap, cheap, is very expensive.
 
[emoji23][emoji23] kwamba target yako hawezi kuja mpaka miezi sita!!.
Nyiendio mnaepigwa kwasababu ya uoga uoga, trust me, all women are very cheap kwa wanaume.
Dude stop coward!.
 
Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.

Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.

Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.

[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.

Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
😀 Dodoma City
 
Ushajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?

Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
Hatari kweli kweli
 
Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.

Tumeonana sikumoja, tukapeana namba, tunapiga stori mwezi mzima kwenye simu tu, hunijui kiundani namimi sikujui, tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? Wakati huniju vizuri??.

Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.

[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.

Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
Yaani km 45 tu unaona nyingi?
Watu wameenda mpk nje ya nchi nauli za ndege zilitumwa itakuwa ya dar.!!!!?
Btw hata huo ni mwanzo wa kufahamiana pia
 
Ndio mana nasema mnaroho ngumu, mmebarikiwa ujasiri.
 
Back
Top Bottom