Unaonekana unakaubahili Fulani...Kwani kunyoa kuna shida gani?
Kwani kupaka breach kuna shida gani?
Una uhakika gani wote ambao unawaona hawapendezi wakinyoa kila mtu anawaona hivo?
Wewe umejuaje wapo humu jf?
Huo ni uhuru binafsi haina uhusiano na kufulia.
Una ushamba flani kwa mbali
NAKAZIAUnaonekana unakaubahili Fulani...
Sioni uhusiano kati ya kunyoa na kufulia..by the way ni maamuzi tu ya mtu binafsi[emoji1787][emoji1787] mmefulia nini
Siyo ubahili bali wafadhili wengi wameanza kujielewa na kushtuka!! mizinga ya fast fasta imekata!!Unaonekana unakaubahili Fulani...
hebu tuone ππNanyoa sababu nimeshindwa kukaa na nywele zaidi ya week ama mwezi hazigusi maji. Ule muwasho nilishindwa kuvumilia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]hebu tuone ππ