Wanawake mnanyoa fashion au mmefulia?

Wanawake mnanyoa fashion au mmefulia?

Nimeacha kusuka 2017... nilisuka ka mtindo kakanikata nywele kimtindo, mama angu akaniambia hawezi kunisuka na nywele ile mbaya.

Akanikata na mkasi.. prune.. zikabaki za kuchana.. nikajitizama nikaona kauso kamekuwa kazuri... toka na hapo ni kunyoa tu , hii week kiduku, ijao normal cutting, ijao naacha zijae jae.

Dec 2021 nikajaribu kusuka.. ubongo unauma khaaaaa.. sijarudiaga tena.
 
Back
Top Bottom