RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Nataka kujua ndio ujanja, umaarufu, ukisasa, usomi, kiburi, majigambo, majivuno, dharau, umwamba au!!?
Na tena wakati unafanya hivyo upo kwako na mlishajenga pa kuishi na mwenza anakushirikisha Kila jambo la kifamilia analofanya!
MSAADA TAFADHALI, sio kwamba natumika baadae nitangulizwe baada ya mpango kazi wake wa ukwasi kukamilika!
Pia najiuliza ikitokea akanyamaza Sasa hivi hapo alipo hao wasiri wake wengine watawarithisha watoto wake nyumba hiyo Kwa upendo na kama watoto hawajui!!?Ndio maana Huwa nashindwa kuficha maendeleo ninayoyafanya coz sijui ndugu ninaowaamini nikinyamaza Sasa hivi watawaambia watoto au make Mali zangu za Siri!!?au watakula wao na kuwadhulumu!!?
Maoni yenu nitayazingatia!
Kataa ndoa mje pole pole!!
Na wale waume wenza mliopo humu mje pole pole nawajua!