Nyumba iliyojengwa si unaijua?Tunaojua ni majirani wa karibu. Hata umbea ukipelekwa basi uwe na ushahidi! Huo ushahidi unautoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba iliyojengwa si unaijua?Tunaojua ni majirani wa karibu. Hata umbea ukipelekwa basi uwe na ushahidi! Huo ushahidi unautoa wapi?
Sasa akiwa Nazo hizo kidogo ndio atajenga Kwa Siri Kwa hizo ndogo bila mwenza wake kujua!!?Ukweli mchungu ni kuwa Mwanaume anapaswa kuwa na hela kumzidi mwanamke wakati wote
Dunia imebadilika sana mkuu,tunazaa watoto wa kike na wanasoma na wanapata nafasi kubwa tu serikalini au wanakojiajiri na kuajiriwa,wengine wanaingia kwenye mihangaiko ya maisha na wanafanikiwa sana kuliko hata wanaume.Sijui hali ikoje kwa zile nchi ambazo wanawake hawaruhusiwi hata kufanya kazi wanakaa tu nyumbani.Kifupi ndoa sasa hivi kwa wanaume ni mwiba...Ukweli mchungu ni kuwa Mwanaume anapaswa kuwa na hela kumzidi mwanamke wakati wote
Kama hao watoto tayari Wana kwao wameshajengewa ndio ajenge kisiri siri!!?Ina maana Kuna mwanamme Dunia hii atafukuza mama na watoto kwenye nyumba halafu akae na mchepuko!!?Wanaume wanaongoza kwa kutelekeza watoto wao, hata wale waliozaa ndani ya ndoa, fuatilia kesi ustawi wa jamii na mahakamani ziko tele. Mbali na kesi, kuna ushuhuda wa watu wengi hata humu JF ambao wamelelewa na mama zao bila mchango wa baba zao.
Ingekua hakuna hiyo tabia ya kuachana na kukacha malezi ya watoto, nafikiri baadhi ya wanawake wasingeona sababu ya kufanya maandalizi kama hayo.
PS:
Kuna wanawake wabinafsi wanafanya hivyo kwa maslahi yao ila siyo wote wengine hali zao za maisha zinawalazimu.
Kajenga kijijini kwaoNyumba iliyojengwa si unaijua?
😳😳😳😳Kama hao watoto tayari Wana kwao wameshajengewa ndio ajenge kisiri siri!!?Ina maana Kuna mwanamme Dunia hii atafukuza mama na watoto kwenye nyumba halafu akae na mchepuko!!?
Hebu eleza hili!
Yaani mpaka wewe unajua huyo mume atakuwa anajua kaamua kukaa kimya na kukaa nalo moyoni.Wanajiahami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.
Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Mkuu ndio maana mwanamke alipaswa kukaa nyumbani azae na kulea watoto. Kwa sababu tunakiuka sheria za mungu ndio maana haya yanatokea.
Kwan kuwa na Ela kumzidi ndio kutamfanya asijenge kimya kimya?Ukweli mchungu ni kuwa Mwanaume anapaswa kuwa na hela kumzidi mwanamke wakati wote
Matalibana walizingatia hili ndio maana wao migohoro ya ndoa husikii kabisaMkuu ndio maana mwanamke alipaswa kukaa nyumbani azae na kulea watoto. Kwa sababu tunakiuka sheria za mungu ndio maana haya yanatokea.
Majukumu gani hayo hatutimiziNi kwa maisha ya zamani. Maisha ya sasa haya kwanza wanaume wengi hawafanyi majukumu yao ipasavyo na mwanamke akiwa hana kipato ndio kabisaa wanapata sababu ya kumkamdamiza. Wacha tu mwanamke awe na hela yake kuhusu kukaa vyema na mumewe itategemea utashi wake na aina ya mume alienae na nikumbuka pia wanaume sio malaika na nyie na mapungufu yenu.
Kabisa masimango ni mengi mimi mpaka nimepunguza upendo kwakeMwanamke ni mbinafsi by nature, ndio maana hela ya mwanamke utakula kwa masimango sana, lakini wao hela ya mwanaume tena wanasema ni tam
Kama akili zenyewe ndio hizi acheni tu vijana wa siku hizi wawe wagumu kuoa.Sasa mtu yupo kwenye ndoa anatelekeza vipi mtoto? Ila cha ajabu siku wakija kuachana zinagawanywa na mwanaume ila mali a mwanamke haziguswi,halafu kesho mnalamika mnataka 50/50 ,haki sawa ila vya kwenu hamtaki usawa.Wanaume wanaongoza kwa kutelekeza watoto wao, hata wale waliozaa ndani ya ndoa, fuatilia kesi ustawi wa jamii na mahakamani ziko tele. Mbali na kesi, kuna ushuhuda wa watu wengi hata humu JF ambao wamelelewa na mama zao bila mchango wa baba zao.
Ingekua hakuna hiyo tabia ya kuachana na kukacha malezi ya watoto, nafikiri baadhi ya wanawake wasingeona sababu ya kufanya maandalizi kama hayo.
PS:
Kuna wanawake wabinafsi wanafanya hivyo kwa maslahi yao ila siyo wote wengine hali zao za maisha zinawalazimu.
Na siku zote mtu anapotembea MTAANI anakuwa yupo uchi maana mambo mengi yake hajui ila watu wanayajua🤔Wanajiahami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.
Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Mimi mama yangu kajenga mikoa tofauti na hadi mshua anaenda kaburini hajui lolote. Wakati wa uhai wake kampiga sana matukio hataki afanye kazi na hataki awe na maendeleo yoyote eti mke wa mtu na alimkuta kasoma na ana kazi tayari. Mtu hawazi ya mbele na ukoo wake ni ule wanaamini cha ndugu yoyote ni cha ukoo mzima. Akaona isiwe kesi katafuta mahala pengine kimya kimya. Na mzee alipofariki tu fujo zikaanza haya niambie kama hakua kajiongeza mapema hali ingekuaje.😳😳😳😳
Uko serious au unatetea tu hoja yako.
Ni kweli hujawahi kuona mama na watoto waliofukuzwa na mwanaume nyumbani?
Were ni Me au Ke tabia ya ubinafsiMimi mama yangu kajenga mikoa tofauti na hadi mshua anaenda kaburini hajui lolote. Wakati wa uhai wake kampiga sana matukio hataki afanye kazi na hataki awe na maendeleo yoyote eti mke wa mtu na alimkuta kasoma na ana kazi tayari. Mtu hawazi ya mbele na ukoo wake ni ule wanaamini cha ndugu yoyote ni cha ukoo mzima. Akaona isiwe kesi katafuta mahala pengine kimya kimya. Na mzee alipofariki tu fujo zikaanza haya niambie kama hakua kajiongeza mapema hali ingekuaje.
Ubinafsi hauna jinsia.Were ni Me au Ke tabia ya ubinafsi
Unafikiri wanaume wote wapo kama mzee wako?.Mimi mama yangu kajenga mikoa tofauti na hadi mshua anaenda kaburini hajui lolote. Wakati wa uhai wake kampiga sana matukio hataki afanye kazi na hataki awe na maendeleo yoyote eti mke wa mtu na alimkuta kasoma na ana kazi tayari. Mtu hawazi ya mbele na ukoo wake ni ule wanaamini cha ndugu yoyote ni cha ukoo mzima. Akaona isiwe kesi katafuta mahala pengine kimya kimya. Na mzee alipofariki tu fujo zikaanza haya niambie kama hakua kajiongeza mapema hali ingekuaje.