Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Pole, hapo kwenye ndugu kuleta vurugu nakuelewa Sana.Mimi mama yangu kajenga mikoa tofauti na hadi mshua anaenda kaburini hajui lolote. Wakati wa uhai wake kampiga sana matukio hataki afanye kazi na hataki awe na maendeleo yoyote eti mke wa mtu na alimkuta kasoma na ana kazi tayari. Mtu hawazi ya mbele na ukoo wake ni ule wanaamini cha ndugu yoyote ni cha ukoo mzima. Akaona isiwe kesi katafuta mahala pengine kimya kimya. Na mzee alipofariki tu fujo zikaanza haya niambie kama hakua kajiongeza mapema hali ingekuaje.

