Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hadi nimecheka... Ni mapito nayo yalipitaWee boya kweli kweli...ungeondoka na hizo hela zake zote alafu aamue kufa ya lolote atakalo
Natumai ulishamfukuza huyo kenge ata kama alikuwa mkeoMkuu hadi nimecheka... Ni mapito nayo yalipita
Hata yeye alikuwaga hivyo. Kama anahitaji kitu nisipokuwepo ananunua halafu nikirudi anasema nina deni alikopa kwa dada yake anunue kitu fulani.Au mwingine anakupa heka halafu anasema kamuazima shoga yake hivyo itabidi hela urudishwe baadae, kumbe hela ni za kwake🤣
Hao watoto aliwazaa peke yake!?mume wake hawamhusu!!?Mimi namfahamu mwanamke aliyefanya hivyo baada ya kuchoka visa vya mume kuchepuka na manyanyaso.
Sababu yake ilikua kufanya maandalizi ya kutengana na kuhakikisha watoto wake hawakosi pa kuishi.
Hakuwa mke wangu yaliisha mkuu yapata miaka 4 iliyopita. Niliona kila rangi kutoka kwake.Natumai ulishamfukuza huyo kenge ata kama alikuwa mkeo
Wanaume poleni sana.Hata yeye alikuwaga hivyo. Kama anahitaji kitu nisipokuwepo ananunua halafu nikirudi anasema nina deni alikopa kwa dada yake anunue kitu fulani.
Nyokonsana hawa viumbe wenye mbususu katikati ya mapaja yaoHakuwa mke wangu yaliisha mkuu yapata miaka 4 iliyopita. Niliona kila rangi kutoka kwake.
Maana yake ni kuwa ndoa ndoano. Muda wowote samaki anavuliwa kutoka majini anakuja nchi kavu. Huko nchi kavu kama hajaandaa mazingira ataishije?Nataka kujua ndio ujanja,umaarufu,ukisasa, usomi,kiburi,majigambo,majivuno,dharau,umwamba au!!?
Na tena wakati unafanya hivyo upo kwako na mlishajenga pa kuishi,na mwenza anakushirikisha Kila jambo la kifamilia analofanya!
MSAADA TAFADHALI,sio kwamba natumika baadae nitangulizwe baada ya mpangokazi wake wa ukwasi kukamilika!
Maoni yenu nitayazingatia!
Kataa ndoa mje pole pole!!
Na wale waume wenza mliopo humu mje pole pole nawajua!
Mkuu ndio maana mwanamke alipaswa kukaa nyumbani azae na kulea watoto. Kwa sababu tunakiuka sheria za mungu ndio maana haya yanatokea.Kumbe wanakua wamejiandaa kuachana SI ndio!!?
Okh na kama hawana kipato wanakua wanajiandaaje kuachana !!?maana hawana kipato!
Kwahiyo vya mwanaume ndiyo viwe vya mgao? Cha ajabu pamoja na kujenga nyumba kwa siri lakini ikifika hatua ya kuachana mwanamke atataka mgawane naye mali zako hata nyumba pia.Wanajiahami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.
Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Hii ni tamu, ifungulie uzi tuisome tuielewe vizuri.Wanajiahami siku mkiachana vitu vyake visiwekwe kwenye mgao.
Jirani yetu anajenga tokea muda ila nyumba bado haijaisha huku mkewe tayari amejenga na nyumba imeisha kaweka wapangaji.
Mume hajui ila majirani tunajua.
Inawezekana wakati unaanza maisha nae hakuwa na kazi Sasa alipata ajira mikononi mwako Sasa utamkataa kisa ameajiriwa!!?na mlianza mambo masomoni huko na wewe ndio ukaajiriwa!l Yeye bado!!!?Mkuu ndio maana mwanamke alipaswa kukaa nyumbani azae na kulea watoto. Kwa sababu tunakiuka sheria za mungu ndio maana haya yanatokea.
UBINAFSI UBINAFSI UBINAFSIMwanamke ni mbinafsi by nature, ndio maana hela ya mwanamke utakula kwa masimango sana, lakini wao hela ya mwanaume tena wanasema ni tamu
Wanaume wanaongoza kwa kutelekeza watoto wao, hata wale waliozaa ndani ya ndoa kabla ya kutengana, fuatilia kesi ustawi wa jamii na mahakamani ziko tele. Mbali na kesi, kuna ushuhuda wa watu wengi hata humu JF ambao wamelelewa na mama zao bila mchango wa baba zao.Hao watoto aliwazaa peke yake!?mume wake hawamhusu!!?
Ina maana huyo mwanamke alijilala mwenyewe ndio akazaa au watoto sio was huyo mume!!?
Funguka zaid wenye akili timamu tuelewe!!