Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ili unizagamue na kuniacha we mzee
 
Na kwa nini we mwanaume mpka mwanamke wako akuombe pesa

Mwanaume anayejitambua anayejua umuhimu wake huwa anajiongeza tu mwenyewe

Nina mwanamke ana mahitaji yake lazima nimuhudumie
Kufanya hivyo ni kumuuzia huduma, pale atakaposhindwa kuhudumia anakuwa hana thamani tena.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ili unizagamue na kuniacha we mzee
sasa nakuzagamuaje na kukuacha wakti wewe mwenyewe unaonekana mrembo na unapenda kuzangamuliwa. mie condition yangu mbona rahisi sana, usilete story za kutaka kugegedwa weye peke basi. yaani hapo ata dubai tutaenda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…