Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #421
Hisia zimeenda wapi?Basi tafuteni sana hela maana tunazihitaji. Hili wala halina mjadala, ni simple tu hivyo yaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisia zimeenda wapi?Basi tafuteni sana hela maana tunazihitaji. Hili wala halina mjadala, ni simple tu hivyo yaani.
Hisia za nini?Hisia zimeenda wapi?
Kama hisia hazipo,basi kutakuwa na tatizoHisia za nini?
Hisia za nini?Kama hisia hazipo,basi kutakuwa na tatizo
Za kuwa na mwenzaHisia za nini?
[emoji2][emoji2]Wee unaumiza kichwa tuu. Wanaume very simple hatuwezi kugegegda mbususu moja basi
Yan umeonaaaaa......Uko kama mimi
Mods wanafeli wana mambo ya kidwanzi sana
Nipe kila kitu uone kama ntaenda hata kwa jirani😅Wanaume hata mkipewa kila kitu mkiamua kutoka nje mnatoka vizuri tu hamtabiriki nyinyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna namnaKweli kabisa mkuu [emoji23][emoji23] yaani wanawake hawa unakuta mimi nina mdii naye lakini hata hanielewi, sasa cha kufanya ni kutafuta mwingine ndio dawa yao
Mmmhh!!!!Nipe kila kitu uone kama ntaenda hata kwa jirani[emoji28]
Aisee pole sana [emoji16]Mods wanafeli wana mambo ya kidwanzi sana
Asantee
Sio wote tunapenda kuhangaika ujue
Ulipotea sana mkuuMods wanafeli wana mambo ya kidwanzi sana
Walintia ban kisa nimemuita chocco mmoja sasa sijui chocco ni tusi kuanzia lini humu! Vita ya kiuchumi sio nyepesiUlipotea sana mkuu
Wewe ndio mwanamke pekee nimeona kwenye uzi Huu unaakili na inaonesha umefundwa umefundika unafaa kwa kuolewa na kujengewa sanamu pale PostaKiukwel katika vitu sipendi nikiwa kwenye mahusiano nikumuomba mtu pesa naona kama najishusha flani hivii