uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea.
Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia, ndipo timbwili timbwili linapoanza.
Sasa mimi najiuliza, kama unauza si bora useme? Ili tujue tunanunua huduma. Na je, hisia zenu zipo kwenye pesa tu?
Wanaume wana uitaji zaidi Kaka! Ndo maana wewe unalalamika hapa yeye halalamiki, Na kesho tena utaenda mnyenyekea!
Wanawake bwana, we can't live without, ndo maana tu mepewa fursa ya kuwa chagua, maana Ni Pasua kichwa!
Kuna watu wanaropoka sioi sitaoa ; bla bla, fuatilia mwishowe wanakuja kuwa frustrated tu kabisa!
Unafikiri sisi kuwachagua Mungu katupendelea? Wala, wamepewa nguvu kubwa Sana Na wakiitumia vizuri Kwa mwanaume wanapendwa Sana!
Ndo maana unaoana regardless ya idadi Yao kubwa bado wanaume 6 wanaweza piga misele Kwa mmoja!