Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea.

Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia, ndipo timbwili timbwili linapoanza.

Sasa mimi najiuliza, kama unauza si bora useme? Ili tujue tunanunua huduma. Na je, hisia zenu zipo kwenye pesa tu?


Wanaume wana uitaji zaidi Kaka! Ndo maana wewe unalalamika hapa yeye halalamiki, Na kesho tena utaenda mnyenyekea!

Wanawake bwana, we can't live without, ndo maana tu mepewa fursa ya kuwa chagua, maana Ni Pasua kichwa!

Kuna watu wanaropoka sioi sitaoa ; bla bla, fuatilia mwishowe wanakuja kuwa frustrated tu kabisa!

Unafikiri sisi kuwachagua Mungu katupendelea? Wala, wamepewa nguvu kubwa Sana Na wakiitumia vizuri Kwa mwanaume wanapendwa Sana!

Ndo maana unaoana regardless ya idadi Yao kubwa bado wanaume 6 wanaweza piga misele Kwa mmoja!
 
Wanaume kwa ujumla tunapenda kuwapa hela wanawake tunaowapenda ila sasa shida inakuja hapa

Ni heri mdada aliwe na kidume mwenye hela kuliko mimi, Ntajifarij kuwa nimezidiwa kete, utakuta Kwamfano mm nahonga laki 5, lakini papuchi napewa baada ya kuhaso mda mrefu sana na kutoa hela za kushato, Na naweza honga Malaki ya pesa nisipewe papuchi na hata busu nisipewe, Ila utakuta kuna kidume mwenzangu anakula papuchi hio hio niliolipia laki 5, buureee tena Kirahisi bila kutoa sh 100, SHIIIT🤬🤬 tena utakuta kwenye Hio laki 5 nliohonga mimi, huyo kidume mwingine aliepewa papuchi ya bure, anapewa hapo laki 1 sasa huo si ufala aiseee Joannah mzabzab Extrovert Equation x Amehlo
Ukitaka kuingia kwenye mahusiano hakikisha huyo unaeingia nae ana upendo wa kweli na wewe,hapo patakuwa na upendo,heshima,thamani kuoneana huruma..Sasa ukikirupuka ujue Kuna kitu kitakukuta😂
 
Tatizo unajipinda hivyo lakini tambua kuwa kunakidume ambaye ana hela zaidi yako atamtongoza na atakula mbususu. Changamoto ndio ipo hapo kwamba nyie wanawake hamtosheki.....mgetosheka mbona ata hapa tusingefika tungekuwa eden tuu tunatembea uchi
😂😂😂😂😂Tukaenda zetu kupiga story na nyoka sio?
 
Wanaume kwa ujumla tunapenda kuwapa hela wanawake tunaowapenda ila sasa shida inakuja hapa

Ni heri mdada aliwe na kidume mwenye hela kuliko mimi, Ntajifarij kuwa nimezidiwa kete, utakuta Kwamfano mm nahonga laki 5, lakini papuchi napewa baada ya kuhaso mda mrefu sana na kutoa hela za kushato, Na naweza honga Malaki ya pesa nisipewe papuchi na hata busu nisipewe, Ila utakuta kuna kidume mwenzangu anakula papuchi hio hio niliolipia laki 5, buureee tena Kirahisi bila kutoa sh 100, SHIIIT[emoji2959][emoji2959] tena utakuta kwenye Hio laki 5 nliohonga mimi, huyo kidume mwingine aliepewa papuchi ya bure, anapewa hapo laki 1 sasa huo si ufala aiseee Joannah mzabzab Extrovert Equation x Amehlo
Unatumia nguvu nyingi aisee. (Pesa) lakini huwezi kumlizisha mwanamke, namaanisha mtula wako hujui kuutumia. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Sasa unakuwa na demu mmoja analeta utoto wa kufanya drama mara akunyime K wakati kila kitu unampa! Huo ujinga wa kupimiana Mbunye ndio unafanya watu watoke nje ya mahusiano
Kweli kabisa mkuu [emoji23][emoji23] yaani wanawake hawa unakuta mimi nina mdii naye lakini hata hanielewi, sasa cha kufanya ni kutafuta mwingine ndio dawa yao
 
Kweli kabisa mkuu [emoji23][emoji23] yaani wanawake hawa unakuta mimi nina mdii naye lakini hata hanielewi, sasa cha kufanya ni kutafuta mwingine ndio dawa yao
Mbona kuna wanawake wametulia hawana mambo mengi bado mnawasaliti? Hii kuonja onja nje ni asili yenu tu wala sio kisa mwanamke hakupi unavyotaka. Kutoka nje sio lazima iwe kwa sababu mnazosema wengine ni asili yenu kila K mnataka kupiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kuna wanawake wametulia hawana mambo mengi bado mnawasaliti? Hii kuonja onja nje ni asili yenu tu wala sio et kisa mwanamke sijui hakupi unavyotaka mtu ukiona anatoka nje sio lazima iwe sababu mnazosema wengine ni asili yenu kila K mnataka kupiga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ndio maana mimi napinga kauli ya kusema Mungu anakupa wa kufanana naye. Ila Mungu anakupa wa kuchukuliana. Vinginevyo hamuwezi kuishi, hasa msipo chukuliana
 
Tukiwachukia it means hatutokuwa na nyie. Sasa chagueni moja.
Mbaki na hamu zenu na pesa zenu mnunulie sabuni ziwafariji, nasi tubaki na utamu wetu.
Uzuri kila mmoja anamuhitaji mwenzake
 
Back
Top Bottom