Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Tatizo unajipinda hivyo lakini tambua kuwa kunakidume ambaye ana hela zaidi yako atamtongoza na atakula mbususu. Changamoto ndio ipo hapo kwamba nyie wanawake hamtosheki.....mgetosheka mbona ata hapa tusingefika tungekuwa eden tuu tunatembea uchi

Wanaume kwa ujumla tunapenda kuwapa hela wanawake tunaowapenda ila sasa shida inakuja hapa

Ni heri mdada aliwe na kidume mwenye hela kuliko mimi, Ntajifarij kuwa nimezidiwa kete, utakuta Kwamfano mm nahonga laki 5, lakini papuchi napewa baada ya kuhaso mda mrefu sana na kutoa hela za kushato, Na naweza honga Malaki ya pesa nisipewe papuchi na hata busu nisipewe, Ila utakuta kuna kidume mwenzangu anakula papuchi hio hio niliolipia laki 5, buureee tena Kirahisi bila kutoa sh 100, SHIIIT🤬🤬 tena utakuta kwenye Hio laki 5 nliohonga mimi, huyo kidume mwingine aliepewa papuchi ya bure, anapewa hapo laki 1 sasa huo si ufala aiseee Joannah mzabzab Extrovert Equation x Amehlo
 
Huo ndio mgawanyiko wa majukumu ndugu mjumbe😅
 
Akikuomba hela maana yake anauza. Wanawake hakuna siku hizi ndugu. Katika 10 wawili ndio wanaeleweka waliobakia ni makahaba wanaojificha katika kivuli cha kuwa single with mission.
“Single and ready to Bang for the money”
 
Tafuta nyingi, nyingine umgawie mchepuko.[emoji4]

Nyie ndo manokwamisha mzunguko wa pesa mtaani kwa kuhodhi pesa zote kwa wake zenu.

Michepuko inasaidia sana kiuchumi kuingiza pesa nyingi sana kwenye mzunguko maana wanamtumizi ya hovyo sana[emoji2]
😂😂😂😂😂😂😂😂 ntapambana bro hela ije mtaani
 
Lakini ni ukweli usiopingika wanaume mnahangaika sana na huwa mnasema wenyewe ni asili yenu so huwa hatulalamiki bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tuwe wakweli wee kwali unaridhika na mboo moja? Just be honest. Isingekuwa jamii kuwa label kama malaya ata nyie mngekuwa mnatanga tanga kama sie tuu kusaka migegegdo 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom