Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
HahahaWazee walihudumia kwa sababu walikuwa na uhakika wanagonga wenyewe tu! Sahizi unahudumia na bado unagongewa aisee. Hamna demu wa pekeako kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWazee walihudumia kwa sababu walikuwa na uhakika wanagonga wenyewe tu! Sahizi unahudumia na bado unagongewa aisee. Hamna demu wa pekeako kwa sasa.
Acha kabisa sio wote wengine tuko kama zamani [emoji23][emoji23][emoji23]Aah wapi kwa kizazi hiki cha wanaume wala chips yai mchana na jioni [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani ajabu [emoji4]Naaanzaje kukushawishi yaani
Hamna mkuu [emoji23][emoji23] nakupa raha mwenyewe unanena kwa lugha [emoji4] kwa hiari yako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kuna kunena kwa lugha automatically na kuna ya kupanga ili umalize unachokifanya[emoji28][emoji28]
Mpaka umemuona kapendeza ni pesa imeungua, kama unajiongeza utaombwa pesa saangapi, usione vya pendeza vimegharamikiwa.
Kwa sura ipi hio?😅Mbovu kwako, queen kwa mwenzio[emoji3][emoji3][emoji3]
Ha ha ha......[emoji2]Na ukiwa bahili sana huku una hela wanakuloga ili uwape vizuri [emoji205]
Hahahaha ushaomba kitita kabisa? 😅Naomba unitumie 50,000 kwenye ile account yangu
Yani mtu aombe mzigo halafu kutumia asiweze kweli?Mzigo sio tatizo, je unaweza kuutumia baba[emoji3][emoji3][emoji3]au ndo apeche alolo
Punguza jazba mkuu, toa Ela Wewe[emoji2]Pesa sio mapenzi!
Ndio maana hata kuwa waaminifu inawawia vigumu sababu kama pesa ndio password na sio upendo wako basi jua tu kuwa huwezi kuwa na uhusiano na mtu mmoja.
Bidhaa siku zote haikataagi mnunuzi [emoji28] msihalalishe biashara ya ngono kwa style hio.
Leo ntakupa laki utakuwa na mimi akija wa laki na nusu nae utampa mbunye hapo kuna mapenzi kweli?
Kwa hiyo kwa definition yako demu akiwa mzuri kupewa pesa ni sawa ila mbovu sio sawa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani gari bovu likoje?[emoji23][emoji23]
Okay ndio nishafanya booking hivyo
Kwa hiyo wasiokuwa na matako hawaombi hela?
Ya kupata nilicholipia kama mleta mada anavyosemaYa nini
We unaweza kuikatia Comprehensive gari ya kubebea mkaa na kuni😅?Kwa hiyo kwa definition yako demu akiwa mzuri kupewa pesa ni sawa ila mbovu sio sawa?
😅😅 sijapenda kwakweli🥺🥺We unaweza kuikatia Comprehensive gari ya kubebea mkaa na kuni😅?
Sina maana hiyo ila yote kwa yote kutoa pesa naona iwe hiari ya mtoaji sio kuombana ombana tuKwa hiyo kwa definition yako demu akiwa mzuri kupewa pesa ni sawa ila mbovu sio sawa?
Kumbe na wewe umeliona hilo...aisee ni wadeadly joooo katika kugawa mbususu hawa viumbe ila wakwanza kuwalaum wanaume kuwa hatutuliiWazee walihudumia kwa sababu walikuwa na uhakika wanagonga wenyewe tu! Sahizi unahudumia na bado unagongewa aisee. Hamna demu wa pekeako kwa sasa.
Tatizo unajipinda hivyo lakini tambua kuwa kunakidume ambaye ana hela zaidi yako atamtongoza na atakula mbususu. Changamoto ndio ipo hapo kwamba nyie wanawake hamtosheki.....mgetosheka mbona ata hapa tusingefika tungekuwa eden tuu tunatembea uchiIla jamani wanaume mnaolalamika kwenye huu Uzi unaombwa hela hebu tunawaomba mkue wakubwa Sasa,yaani mkomae kiakili.Hakuna mapenzi bila kuhudumiana yaani hili Jambo Ni nature kabisa.Mwanamme unapomhudumia mpenzi wako inakuongezea Ujasiri na mamlaka na heshima kwa Yule unaemiliki.Hivi mwanaume unajisikiaje unachukua tu mwanamke unafanya Mambo yako then unamwambia tutawasiliana?Haya,anaogea sabuni gani baada ya hapo?anapaka nini ili aendelee kukuvutia,akija ananuka kikwapa unakuja kumtangaza hapa,kazi yenu kusema waoooh umependeza Sana, 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔mmmh shauri yenu.Mpe mpenzi wako huduma kwa kadri ya uwezo wako,na usisubiri mpaka akuombe itakukera tu....kikubwa mpunguze makoloni mbona inawezekana tu ,Na mpunguze story za vijiweni wenzenu wanajifanya hawatoi kumbe ndio watoaji wakuu Nina mashaka Sana na Extrovert 🤣🤣