Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Few things I a have learnt about this mysterious thing called MARRIAGE:
A woman will probably have sex with any man she likes, while A man will probably have sex with a woman he can. But in a long run a man will marry a woman he likes, while a woman will get married to any man she can.

AU Katika lugha yetu pendwa iko hivi: Mara nyingi mwanamke anaweza kufanya ngono na mwanaume yoyote amtakaye yeye, lakini mwanaume atafanya ngono na yule mwanamke ambaye ameweza kumpata kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NDOA wanawake wanakuwa na nguvu kubwa ya kuamua ni nani alale naye.

Japo sasa linapokuja suala zima la NDOA hii hugeuka kinyume, ambapo mwanamme huoa mwanamke amtakaye yeye, ilhali wanawake wengi huolewa na mwanaume yoyote anayeweza kuolewa nao kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NDOA wanaume tunakuwa na nguvu kubwa ya kufanya maamuzi ya mwanamke gani wa kuoa.

Bahati mbaya sana, dada zetu walio wengi hudhania kwamba kwasababu hufuatwa na wanaume wengi ambao lengo lao ni NGONO, basi itakuwa hivyohivyo hadi kwenye suala la NDOA. Nilichojifunza ni kwamba wanaume wengi huwa tunachagua kupitiliza (We Become Very Peaky) linapokuja suala zima la mwanamke wa kuoa. Hatuangalii uzuri wa maumbile na ngono peke yake, na hapa ndipo tatizo linapoanza. Kuna wanawake wazuri mno niliwahi kuwa nao huko nyuma, lakini nilipoambiwa nioe mmoja wao sikuweza kukubali kabisa.

NB: A woman controls the access to sex, while a man controls the access to marriage.
Haya jamani wanawake ukweli ndio huo.
Kelsea to yeye sophy27 financial services njooni mpate somo.

Hao matall dark and hansome nyie enjoy nao tuu ila mwisho wa siku wakina mzabzab ndio tutawaoa🤣🤣🤣
 
Wanawake wote wana vigezo vyao kuhusu mume ama mchumba wanaemtaka awe navyo. Na hivyo vigezo vinafanana.. yaani handsome mwenye maisha mazuri.

Sasa wanapokosa mtu wa aina hiyo ndipo wanaenda kuombewa kanisani wampate.

Mwanamke mrembo akitongozwa na mwanaume mwenye maisha duni anaona kama ni pepo limemshukia ama mkosi na gundu
Ila kweli kabisa yaani wao hawatutaki kabisa sie sura pesono labda uwe na hela ndio watakufikiria kidogo
 
Na ndio maana ndoa zina shida sana

Uliacha mwanamke anayekupenda
Unayeoa we unampenda ye hakupendi ana wake huko nje atachepuka tu

Ushauri
Oa mwanamke anayefanya mapenzi na wewe women do it for love
Hio very pickyy muda mwingine haiwasaidii
Kwahy kam hana akili namuelekeza haelew nimuoe tu kisa ananipenda ??
 
Hongera
Kwa ground mambo ni 🔥
Sijaelewa ulivyosema kwa Ground Mambo ni Moto: Lakini kwasababu umeniuliza basi naomba nikupashe.
Kiufupi hakuna ndoa ambayo haisumbui hapa duniani, sema tu mnaamua kuviheshimu viapo vyenu na kuangalia taswira pana kwamba mna watoto ambao wanahitaji malezi ya baba na mama. Ukweli ni kwamba "Whenever there's peace in marriage, know that massive compromises have been made"

Tatizo ni kwamba "Many women want to get married, but most of them are not ready to be wives" . Tunaweza kubishana hapa kwasababu hatufahamiani, lakini huu ndiyo ukweli wenyewe. Sasa huwezi kuishi unavyotaka tuu (304 Skank au Mtu wa Hot Girls' Summer) halafu unasema unaenda kwenye ndoa au unataka uwe mke wa fulani. Haiwezekani hata kidogo!!!

Binafsi napenda watu waoane kwa kupendana (MUTUAL LOVE), lakini uhalisia ni kwamba wanaume huchagua sana wanawake wa kuoa. Pia mapenzi huendeshwa na mantiki (Logic) zaidi ya mahaba niue (Infatuations and Sweet Nothings). Ndoa ni zaidi ya NGONO, kuna siku hamtakuwa hata na huo muda.

Umesema una ndoa ya miaka 4 ??? Basi jiandae kisaikolojia, watoto wakiwa wakubwa utaelewa......
 
Mwanamke ana miaka michache sana ya ku "shine" ambapo hapo wale wajanja ndio hua wanapata waume wa kuwaoa. Wale ambao sio wajanja hudhani kwamba wataendelea ku shine forever so wanatanguliza nyodo, majivuno na starehe. By the time anakuja kushtuka kashagonga 30 na wale vijana wote aliowaletea nyodo wameshaoa wana familia zao ndio kuanza kukimbilia makanisani.
 
Haya jamani wanawake ukweli ndio huo.
Kelsea to yeye sophy27 financial services njooni mpate somo.

Hao matall dark and hansome nyie enjoy nao tuu ila mwisho wa siku wakina mzabzab ndio tutawaoa🤣🤣🤣
😂😂😂Kwan si ulisema utanioa Kwa mahari ya laki 2 Au umeghairi 😂😂 Bado sijafika kusimamia kanisani kuomba mume
 
kuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
😂😂
 
Sijaelewa ulivyosema kwa Ground Mambo ni Moto: Lakini kwasababu umeniuliza basi naomba nikupashe.
Kiufupi hakuna ndoa ambayo haisumbui hapa duniani, sema tu mnaamua kuviheshimu viapo vyenu na kuangalia taswira pana kwamba mna watoto ambao wanahitaji malezi ya baba na mama. Ukweli ni kwamba "Whenever there's peace in marriage, know that massive compromises have been made"

Tatizo ni kwamba "Many women want to get married, but most of them are not ready to be wives" . Tunaweza kubishana hapa kwasababu hatufahamiani, lakini huu ndiyo ukweli wenyewe. Sasa huwezi kuishi unavyotaka tuu (304 Skunk au Hot Girl Summer) halafu unasema unaenda kwenye ndoa au unataka uwe mke wa fulani. Binafsi napenda watu waoe kwa kupendana, lakini uhalisia ni kwamba wanaume huchagua sana wanawake wa kuoa.
Sahihi kabisa
 
kuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
Atakua anataka mwenye Range huyo au kama wale wa kwenye series za kikorea maana hawa ndug zetu wanashinda kutofautisha kati ya kilichopo,wanachokitaka,wanachokiona wanachotamani ,na kinachomzunguka
 
Mwanamke ana miaka michache sana ya ku "shine" ambapo hapo wale wajanja ndio hua wanapata waume wa kuwaoa. Wale ambao sio wajanja hudhani kwamba wataendelea ku shine forever so wanatanguliza nyodo, majivuno na starehe. By the time anakuja kushtuka kashagonga 30 na wale vijana wote aliowaletea nyodo wameshaoa wana familia zao ndio kuanza kukimbilia makanisani.
Sio kilamtu ni hivo kunawanaume wa kuwaweka wapenz wao et wasubir muda waoane na tunavopenda kijinga unamsubir mtu miaka hta mitano akipata Sasa anawaza kuoa anaempenda wakat huo wew ushagongwa 30
 
kuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama mwanamke ana tabia mbaya, keshamaliza wanaume wa mtaani , wa kanisani na wakazini anategemea nini?
Ukikubali ku onjwa ojwa shauri yako. Mwanaume akishakuonja hata Kama ana mke lazima amuambie rafiki yake kwamba wewe Ni kitonga. Wakishaonja watatu hata uokoke. Kazi bure
 
Back
Top Bottom