Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Few things I a have learnt about this mysterious thing called MARRIAGE:
A woman will probably have sex with any man she likes, while A man will probably have sex with a woman he can. But in a long run a man will marry a woman he likes, while a woman will get married to any man she can.

AU Katika lugha yetu pendwa iko hivi: Mara nyingi mwanamke anaweza kufanya ngono na mwanaume yoyote amtakaye yeye, lakini mwanaume atafanya ngono na yule mwanamke ambaye ameweza kumpata kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NDOA wanawake wanakuwa na nguvu kubwa ya kuamua ni nani alale au asilale naye.

Japo sasa linapokuja suala zima la NDOA hii hugeuka kinyume, ambapo mwanamme huoa mwanamke amtakaye yeye, ilhali wanawake wengi huolewa na mwanaume yoyote anayeweza kuolewa nao kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NDOA wanaume tunakuwa na nguvu kubwa ya kufanya maamuzi ya mwanamke gani wa kuoa.

Bahati mbaya sana, dada zetu walio wengi hudhania kwamba kwasababu hufuatwa na wanaume wengi ambao lengo lao ni NGONO, basi itakuwa hivyohivyo hadi kwenye suala la NDOA. Nilichojifunza ni kwamba wanaume wengi huwa tunachagua kupitiliza (We Become Very Peaky) linapokuja suala zima la mwanamke wa kuoa. Hatuangalii uzuri wa maumbile na ngono peke yake, na hapa ndipo tatizo linapoanza. Kuna wanawake wazuri mno niliwahi kuwa nao huko nyuma, lakini nilipoambiwa nioe mmoja wao sikuweza kukubali kabisa.

NB: A woman controls the access to sex, while a man controls the access to marriage.
Umeongea point
 
Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na mixture ya wanawake wote mim kitu ambacho huw najiuliza nyinyi wanawake ambao hamna wachumba Wala wanaume kwamba humtongozwi,au Kuna Nini behind

au nyinyi ndio wale ambao mkitongozwa mim na mtu wangu ila mkiwa kanisani mnasimama muombewe mpate wachumba na je kama kweli hamna humo kanisani hamna vijana kweli wakachangamkia hiyo fursa manaa Kuna watoto wengine wakisama unaridhika mwenyewe unasema hapa kweli Mungu kaumba

Haiwezakani Mwanamke wa miaka 24 to 25 ukawa huna mchumba kabisa kwajinsi sisi wanaume tulivyo Kuna wanaume wanaweza kutongoza hadi wanawake wa miaka 50 nyiny mabinti wadogo mnakua mmejifisha wapi

au nyinyi ndio wale wanawake ambao tukiwa kweny daladala tukiwapa salamu tu mnajifanya mpo bize mnachart na simu zenu Yani mwanamke unakosaje mwanaume kabisa yani wew utoke mbezi hadi kariakoo ukose kijana wakukusumbua humo njiani maana kariakoo ndio sehemu yenye vijana wakila aina wenyewe sumu Kali mdomoni,wasumbufu,vinganizi wa kuomba namba,waongaji,waongowaongo wasumbufu,wale wenye kusifia sifia na chap Kwa chap anakuomba namba hapo hapo

Kweli upite mfano ule mtaa wa congo na mchikichi ule mtaa wa vijana wanauza suluali za jeans za kike wanapenda kuweka begani wale vijana wanawasumbua sana na wanatongoza sana wanawake ovyo ule mtaa una vijana machachari kweli

Mwanamke kukosa mchumba au mwanaume ni ungo tusidanganyane Kwa sababu Kuna vijana wa ovyo anaweza kupanga Ata listi ya wanawake kumi peke Ake

Au nyinyi ndio wale January hadi disemba nyumbani kazin kazini nyumbani nyumbani kazini hutaki Ata kwenda coco beach kutembea,tu au sehemu zenye mikusanyiko hutaki

Au nyinyi ndio wale ambao mnataka tall dark handsome men mkishakosa mtaani mnakimbilia kanisani kuombewa

Mim hii kitu SIAMINI kabisa mnamchosha mzee wa watu tu kanisani na kama kweli hamna kabisa wanaume na wachumba basi kutakua Kuna sababu kubwa nyuma ya panzia iliyopelekea kuwafikisha kuanza kuombewa
99.9% yao ni Wabobezi wa Kuiba Mabwana na Kutembea na Waume wa Watu halafu wana Nuksi sana Kimaisha kama Ukijitusu kuwa nao Kimahusiano ya Kibaikolojia.
 
Few things I a have learnt about this mysterious thing called MARRIAGE:
A woman will probably have sex with any man she likes, while A man will probably have sex with a woman he can. But in a long run a man will marry a woman he likes, while a woman will get married to any man she can.

AU Katika lugha yetu pendwa iko hivi: Mara nyingi mwanamke anaweza kufanya ngono na mwanaume yoyote amtakaye yeye, lakini mwanaume atafanya ngono na yule mwanamke ambaye ameweza kumpata kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NDOA wanawake wanakuwa na nguvu kubwa ya kuamua ni nani alale au asilale naye.

Japo sasa linapokuja suala zima la NDOA hii hugeuka kinyume, ambapo mwanamme huoa mwanamke amtakaye yeye, ilhali wanawake wengi huolewa na mwanaume yoyote anayeweza kuolewa nao kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NDOA wanaume tunakuwa na nguvu kubwa ya kufanya maamuzi ya mwanamke gani wa kuoa.

Bahati mbaya sana, dada zetu walio wengi hudhania kwamba kwasababu hufuatwa na wanaume wengi ambao lengo lao ni NGONO, basi itakuwa hivyohivyo hadi kwenye suala la NDOA. Nilichojifunza ni kwamba wanaume wengi huwa tunachagua kupitiliza (We Become Very Peaky) linapokuja suala zima la mwanamke wa kuoa. Hatuangalii uzuri wa maumbile na ngono peke yake, na hapa ndipo tatizo linapoanza. Kuna wanawake wazuri mno niliwahi kuwa nao huko nyuma, lakini nilipoambiwa nioe mmoja wao sikuweza kukubali kabisa.

NB: A woman controls the access to sex, while a man controls the access to marriage.
Sahii kabisa chief[emoji106]
Sio kila mwanamke Ni wakuoa, wengine wanafaa kutumika TU.

Mfano mzuri:
Niko na Mchepuko Wangu mmoja tunaenda mwaka wa 4 huu, ndie mwanamke pekee anaenikosha sana kitandani.

Huwa najisemea
Hata itokee bahat mbaya Mungu amchukue MKE wangu mamaG,
Wallahi huyu mwanamke simuoi.

Ntatafuta mwanamke mwingine nioe au ntabaki singo, na yeye ataendelea TU kua Mchepuko wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wote wana vigezo vyao kuhusu mume ama mchumba wanaemtaka awe navyo. Na hivyo vigezo vinafanana.. yaani handsome mwenye maisha mazuri.

Sasa wanapokosa mtu wa aina hiyo ndipo wanaenda kuombewa kanisani wampate.

Mwanamke mrembo akitongozwa na mwanaume mwenye maisha duni anaona kama ni pepo limemshukia ama mkosi na gundu. Ila akitongozwa na kijana mambo safiii anaona amepata baraka kubwa, anapiga goti kumshukuru Mungu na anaenda kutoa sadaka ya shukrani kanisaniii
Ha ha ah....hapo kwenye sadaka ya shukran nmecheka Sana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa ulivyosema kwa Ground Mambo ni Moto: Lakini kwasababu umeniuliza basi naomba nikupashe.
Kiufupi hakuna ndoa ambayo haisumbui hapa duniani, sema tu mnaamua kuviheshimu viapo vyenu na kuangalia taswira pana kwamba mna watoto ambao wanahitaji malezi ya baba na mama. Ukweli ni kwamba "Whenever there's peace in marriage, know that massive compromises have been made"

Tatizo ni kwamba "Many women want to get married, but most of them are not ready to be wives" . Tunaweza kubishana hapa kwasababu hatufahamiani, lakini huu ndiyo ukweli wenyewe. Sasa huwezi kuishi unavyotaka tuu (304 Skank au Mtu wa Hot Girls' Summer) halafu unasema unaenda kwenye ndoa au unataka uwe mke wa fulani. Haiwezekani hata kidogo!!!

Binafsi napenda watu waoane kwa kupendana (MUTUAL LOVE), lakini uhalisia ni kwamba wanaume huchagua sana wanawake wa kuoa. Pia mapenzi huendeshwa na mantiki (Logic) zaidi ya mahaba niue (Infatuations and Sweet Nothings). Ndoa ni zaidi ya NGONO, kuna siku hamtakuwa hata na huo muda.

Umesema una ndoa ya miaka 4 ??? Basi jiandae kisaikolojia, watoto wakiwa wakubwa utaelewa......
"Many women want to get married, but most of them are not ready to be wives" [emoji3578]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wee unajua mie nakupenda basi tuu unanikatalia kwa kuwa mie bodaboda ila ningekuwa ceo wa kampuni tulishafunga ndoa. Sasa ungekuwa unalea mimba tuu. Tena na urefu wako huo u will look even more beautiful while pregnant😜
😂😂 Nitarudi
 
Sijaelewa ulivyosema kwa Ground Mambo ni Moto: Lakini kwasababu umeniuliza basi naomba nikupashe.
Kiufupi hakuna ndoa ambayo haisumbui hapa duniani, sema tu mnaamua kuviheshimu viapo vyenu na kuangalia taswira pana kwamba mna watoto ambao wanahitaji malezi ya baba na mama. Ukweli ni kwamba "Whenever there's peace in marriage, know that massive compromises have been made"

Tatizo ni kwamba "Many women want to get married, but most of them are not ready to be wives" . Tunaweza kubishana hapa kwasababu hatufahamiani, lakini huu ndiyo ukweli wenyewe. Sasa huwezi kuishi unavyotaka tuu (304 Skank au Mtu wa Hot Girls' Summer) halafu unasema unaenda kwenye ndoa au unataka uwe mke wa fulani. Haiwezekani hata kidogo!!!

Binafsi napenda watu waoane kwa kupendana (MUTUAL LOVE), lakini uhalisia ni kwamba wanaume huchagua sana wanawake wa kuoa. Pia mapenzi huendeshwa na mantiki (Logic) zaidi ya mahaba niue (Infatuations and Sweet Nothings). Ndoa ni zaidi ya NGONO, kuna siku hamtakuwa hata na huo muda.

Umesema una ndoa ya miaka 4 ??? Basi jiandae kisaikolojia, watoto wakiwa wakubwa utaelewa......
Maneno ya busara Sana haya[emoji106]

Naona leo jpili watu wa jf wanashusha nondo zilizoenda skonga. Roho mtakatifu amewashukia watu wa jf.🤣🤣🤣🤣 Malaika wa zamu itabidi aendelee wiki nzima
 
Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na mixture ya wanawake wote mim kitu ambacho huw najiuliza nyinyi wanawake ambao hamna wachumba Wala wanaume kwamba humtongozwi,au Kuna Nini behind

au nyinyi ndio wale ambao mkitongozwa mim na mtu wangu ila mkiwa kanisani mnasimama muombewe mpate wachumba na je kama kweli hamna humo kanisani hamna vijana kweli wakachangamkia hiyo fursa manaa Kuna watoto wengine wakisama unaridhika mwenyewe unasema hapa kweli Mungu kaumba

Haiwezakani Mwanamke wa miaka 24 to 25 ukawa huna mchumba kabisa kwajinsi sisi wanaume tulivyo Kuna wanaume wanaweza kutongoza hadi wanawake wa miaka 50 nyiny mabinti wadogo mnakua mmejifisha wapi

au nyinyi ndio wale wanawake ambao tukiwa kweny daladala tukiwapa salamu tu mnajifanya mpo bize mnachart na simu zenu Yani mwanamke unakosaje mwanaume kabisa yani wew utoke mbezi hadi kariakoo ukose kijana wakukusumbua humo njiani maana kariakoo ndio sehemu yenye vijana wakila aina wenyewe sumu Kali mdomoni,wasumbufu,vinganizi wa kuomba namba,waongaji,waongowaongo wasumbufu,wale wenye kusifia sifia na chap Kwa chap anakuomba namba hapo hapo

Kweli upite mfano ule mtaa wa congo na mchikichi ule mtaa wa vijana wanauza suluali za jeans za kike wanapenda kuweka begani wale vijana wanawasumbua sana na wanatongoza sana wanawake ovyo ule mtaa una vijana machachari kweli

Mwanamke kukosa mchumba au mwanaume ni ungo tusidanganyane Kwa sababu Kuna vijana wa ovyo anaweza kupanga Ata listi ya wanawake kumi peke Ake

Au nyinyi ndio wale January hadi disemba nyumbani kazin kazini nyumbani nyumbani kazini hutaki Ata kwenda coco beach kutembea,tu au sehemu zenye mikusanyiko hutaki

Au nyinyi ndio wale ambao mnataka tall dark handsome men mkishakosa mtaani mnakimbilia kanisani kuombewa

Mim hii kitu SIAMINI kabisa mnamchosha mzee wa watu tu kanisani na kama kweli hamna kabisa wanaume na wachumba basi kutakua Kuna sababu kubwa nyuma ya panzia iliyopelekea kuwafikisha kuanza kuombewa
sio kwamba wamekosa ile ni ishara kwamba hawatendi dhambi ya uzinzi watu wawaone ila unafki ni mkubwa sana , ukitaka kumuoa sasa ndio utaona wanaume wake zote walio katika foleni.
 
Sio kilamtu ni hivo kunawanaume wa kuwaweka wapenz wao et wasubir muda waoane na tunavopenda kijinga unamsubir mtu miaka hta mitano akipata Sasa anawaza kuoa anaempenda wakat huo wew ushagongwa 30
Sio kweli,
Ukiona anakwambia subiri,
jua anasubiri ubadilike anavotaka au ndo anatafuta mbadala wako

Ikishindikana kabadilika na akampata anaeendana nae, unapigwa kiburi bila kupepesa.

Tatizo mwanamke akishakua na mtu, akakuzoea Sana, akaona anampenda Sana. Anapata overconfidence kwamba hata amfanyie ya ovyo hawezi kumuacha.

Wanaume tuna uvumilivu,
Ila ikizid mipaka tunapiga chini fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom