Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Bora watafute mmoja kuliko kutiwa kila sehemu,ndio shida hizo unakuta kila siku mtu anakimbiwa kwenye mahusiano,lazima aende kuombewa kumbe chini hakunogi
Extrovert
Wazi kabisa, bora awe na mkali mmoja wa kumsugua inakuwa na heshima sio anakuwa na wahuni 6 wote wanamlia mkongo. Mambo lazima yawe hamna
 
Bora watafute mmoja kuliko kutiwa kila sehemu,ndio shida hizo unakuta kila siku mtu anakimbiwa kwenye mahusiano,lazima aende kuombewa kumbe chini hakunogi
Extrovert
Sawa ila na sie wanaume ujue tunachangia sana kwa wao kuwa na mileage kubwa. Maana unakuta mrembo kweli anajitumza na anakuo wewe tuu ila sasa wee mzeya ndio unamzingua kwa kuchapa huko nje. Mwishoe nae anaenda kukitembeza huko nje
 
Nijue ilishatoka,
Ila nisijue aliyeitoa Ni mtu tunaejuana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila na sie wanaume ujue tunachangia sana kwa wao kuwa na mileage kubwa. Maana unakuta mrembo kweli anajitumza na anakuo wewe tuu ila sasa wee mzeya ndio unamzingua kwa kuchapa huko nje. Mwishoe nae anaenda kukitembeza huko nje
Mamzi mtulivu na mwenye tabia za mke huwa lazma ataonekana na anaolewa haraka. Yani hata ukiwa nae nikiona unamfelisha lazma ukimtema ntajibebea tu. Kwani unadhani wake za watu wanaliwaje mzee mwenzangu?
Unakuta toto limetulia ila liko na mchizi haramia mwisho wa siku akikosa emotional support toka kwa mume mjuba unajibebea kwa point 3
 
Sawa ila na sie wanaume ujue tunachangia sana kwa wao kuwa na mileage kubwa. Maana unakuta mrembo kweli anajitumza na anakuo wewe tuu ila sasa wee mzeya ndio unamzingua kwa kuchapa huko nje. Mwishoe nae anaenda kukitembeza huko nje
Leo umekua mtu wa kusema haya.? Mzee wewe si unasema tuchakate mbususu bila huruma😎😎
 
Leo nakwambia sijui malaika wa zamu ana nini? Yaani tunanataka kufanya kosa la kuwaonea huruma hawa mabinti wakati wao wakiwa wanatupiga mizinga hawana huruma kabisa
 
Aaahhh mzee au leo umeenda kanisani kutubu.?
 
Hawa wanawake wa Sasa wataendelea kuachika sana.Unajua wengi wao ukiwa naye kwenye mahusiano anakuwa anaishi kwa historia ya nyuma.Kitu ambacho mwanamme mwenye kuwaelewa hawezi vumilia lazima atamkimbia tu.
Tena unakuta mtu mwenyewe pia mbususu hamna kitu,akili hamna anataka kupewa Hela tu na outings za kila weekend.Nani awe na mwanamke asiyejielewa
 
Ukisema mwanamke fulani anakukosha kitandani, embu fafanua Vizuri usikute mdada anakupa hadi buza kwa mpalange DeepPond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…