Mwanaume hasusiwi dadangu, yeue ana nafasi ya kuacha na kuoa tena, ana nafasi ya kuongeza mke wa 2. Haya wewe unayevuta mdomo ukamnunia ukiachwa mandazi yanakudodea, ukipata mchepuko wanao watakuadhibu baadae kwa kumsaliti baba yao. Mwanaume ukiona amejirudi shikilia hapohapo usijekupoteza kila kitu. Hata maandiko hayajasema mwanaume mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake, bali yamemtaja mwanamke.
Chukua ushauri wangu dadangu utalia sana mbeleni. Afadhali huyo anakupa unyumba nusunusu mm mke wangu tuna mwaka wa 2 na zaidi sijamgusa na sina hata ham naye naye ana akili kama yako napanga kuoa bi mdogo