Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini hii si ndoa ni ushahidi wa kuzuga walimwengu kwamba ni mke na mume kumbe anayekutoo kwa zaidi ya mwaka ni kibeten. Mume hajakutoo zaidi ya miaka miwili hata K yako hajui tena inafananaje au inanukia vipi. Hii si ndoa kwa maoni yangu.
Yes Sasa kuliko kukaa ndoa fake Bora kuwa tu huru
 
Wanaume wote tu wanafanana tabia za uhuni na umalaya Sasa wewe mwanamke kuwa mpole hakufanyi vizuri kumbe ana michepuko kumi wewe unaumia unajifanya mtakatifu utajutra wallah siku akikuletea vitoto vya nje huku ma hechibii na wat...ji wazuri ulikuwa unawakataa hapo ni mwanzo wa maumivu ya kudumu, ila ungekuwa na watu wako wawili watatu umalaya wa mumeo hakuumizi na ndoa haifi.
Kha! " watu wako wawili wa tatu", yaani unakuwa na watu wawili au watatu wa kukupumulia kwa nyakati tofauti,si hatari hii! !?
 
Yaani sie wa miaka 15 -20 tunakuelewa vizuri sana

Sasa upate mwanaume limbukeni akipata demu mpya matako yanamlia mbwata yeyeyeyeyeyeyeye!!!!!!!!

Situation ya huyu dada niliipitia kipindi fulani.......

Yaani jamaa dharau yeye, kiburi yeye, ni kufokafoka kama cobra!!!! Mpaka watoto wakamuogopa.

Nilichoamua ni kuishi maisha yangu....

Ya nini wewe unakonda mwenzio anarudi mwepesiiiiiiiiii anajinunisha ili usimguse.

Cha kufia nini....kifanyio chake...hela anayohonga yake....mwili wake....utamu anapata yeye

Kwanza unamtoa tu.moyoni na rohoni........

Kisha tafuta hela.... na funga kizazi au weka kitanzi

Tatu kula bata mpaka kuku waone wivu...

Nne unavuta kibenten kinachojua kusimamia kucha na kukata viuno

Tano maisha yanakuwa yako na wanao tu

Akishtuka tayari manyoya tu!!!!!!

Wanaume wote tu wanafanana tabia za uhuni na umalaya Sasa wewe mwanamke kuwa mpole hakufanyi vizuri kumbe ana michepuko kumi wewe unaumia unajifanya mtakatifu utajutra wallah siku akikuletea vitoto vya nje huku ma hechibii na wat...ji wazuri ulikuwa unawakataa hapo ni mwanzo wa maumivu ya kudumu, ila ungekuwa na watu wako wawili watatu umalaya wa mumeo hakuumizi na ndoa haifi.
 
Yaani sie wa miaka 15 -20 tunakuelewa vizuri sana

Sasa upate mwanaume limbukeni akipata demu mpya matako yanamlia mbwata yeyeyeyeyeyeyeye!!!!!!!!

Situation ya huyu dada niliipitia kipindi fulani.......

Yaani jamaa dharau yeye, kiburi yeye, ni kufokafoka kama cobra!!!! Mpaka watoto wakamuogopa.

Nilichoamua ni kuishi maisha yangu....

Ya nini wewe unakonda mwenzio anarudi mwepesiiiiiiiiii anajinunisha ili usimguse.

Cha kufia nini....kifanyio chake...hela anayohonga yake....mwili wake....utamu anapata yeye

Kwanza unamtoa tu.moyoni na rohoni........

Kisha tafuta hela.... na funga kizazi au weka kitanzi

Tatu kula bata mpaka kuku waone wivu...

Nne unavuta kibenten kinachojua kusimamia kucha na kukata viuno

Tano maisha yanakuwa yako na wanao tu

Akishtuka tayari manyoya tu!!!!!!
Huo ndio mpango mzima.
 
Ulifanya uamuzi wa busara sana kujitaftia furaha wanaume hupenda kufanya vitu ukisononeka na kuhuzunika ndio hufurahia au mkiachana upauke hapo anachekelea
.
Heri kujipenda kufanya maendeleo yako na watoto na kutafta kibeten loh.
 
Mwanamke akichepu kulipiza kisasi anaona amekukomesha sana anakuwa na amani
Ukiona umechepuka ukampanga na mkasameheana jua katika wale anaowakataakataa mmoja wao umempa neema always wanawake wanatongozwa kwa hiyo anachofanya ni kuangalia tu nani anaelekea elekea anamkubali na akikuta show kali imeng'ata kwako mzee

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom