Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

Ilitokea kwa jirani yangu baada ya kuhisi mke anachepuka na rafiki wa familia ,mume amemchukia sana mke na hata kufikia kumtangaza kwa watu kuwa ni Malaya. Juzi Kati akasikika sehemu akisema huyu mke wangu amenitoka mpaka basi natamani kuachana naye.nimemsihi amsamehe mke wake lakini hajanielewa kabisa.

Kwa hiyo nakubaliana haya mambo yapo cha msingi yanapokupata msameheane na mwenzako maisha yaendelee.
Wazee wazamani waliwezeje Mambo haya Mana anasafiri harafu anaaga mwezake mwagito ndavikisaga munyamuganga mwezako nasafiri ,hapo Mana anamkabidhi kwahyo hata Kama wanaenda kunywa pombe kilabuni Cha Kijiji wala haina shida ,jamaa akichelewa Bibi pakiuma anasema jamaa anakanyaga Siri kimyakimya
 
Wawapi
Kama nihawa tunaowanunua nakwenda kuwafuga Kama broila hawana ujanja wameshajiweka ok saikolojikali
 
Habari za jioni.

Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti?

Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu?

Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale, zaidi akaanza dharau.
Mnasuluhisha maisha yanaendelea ila sasa anakuwa amekutoka tu rohoni..

Unamuona kama binadamu tu mwingine wa kawaida. awepo sawa asiwepo hewala.

Hata kutoka pamoja hamtoki tena, hamna stori zaidi ya kujuliana hali, mkiongea ni maendeleo ya watoto, mafundi, biashara full stop,
hakuna hata simu wala sms (uliacha kumpigia maana hata simu zako alikuwa hapokei na mnaishi nyumba moja chumba kimoja kitanda kimoja!!!!!) alidanganya kuwa hajaoa, na pete ya ndoa alipovulia anajua mwenyewe),

Sasa unatoka mwenyewe labda na wanao na unagundua ni raha iliyoje unaenjoy to the maxmum, unaishi maisha yako as if hayupo. unafanya issue zako mwenyewe,

Hata tendo kwa kusua sua.................

Maisha yanasonga!!!!

Sasa basi........

Baada ya miezi kadhaa mumeo anajitahidi kujirudisha ....
Bahati mbaya hakushtui.... na unagundua kwa kuwa humuamini hata akisema kitu cha ukweli wala hukipi uzito unajua ni mauongo yake tu ya kawaida, atakuwa yupo kwenye ubaharia wake tu.......… kila afanyacho unaona kama anajikosha tu hamna jipya, hakushtui, hakusisimui, yaani anaweza kutuma msg asubuhi ukaiona saa tisa maana hata hujishughulishi na msg zake( si mlishaacha kutumiana msg na simu)

Sasa anataka muyajenge........

wenye uzefu jamani...mnaanzia wapi??????????????????????????
Samahani dada yangu, kwa miaka kumi na tano ya ndoa inafaa nikuite dada. Nimekuomba Samahani kwa sababu we ushauri wa tatizo lako umeomba kwa wanawake na mimi ni mwanaume ila nakuomba usinipuuze nisikilize kama hutojali. Kama umeamua kuiponya ndoa yako naomba fanya haya. Anza kufanya wewe yale ambayo unataka mume wako akufanyie ila ktk hili usitake na yeye akufanyie siku hiyo hiyo jipe muda labda mwezi au wiki tatu. Kwakuwa unamjua vizuri we usiku mwambie kwa kutaja jina lake, Juma au Oswald nimeamua niwe mke mpya hivyo nataka kubadilika. Vyovyote akavyokujibu mazungumzo yasiwe marefu mwambie nimeamua niwe tu hivyo nimeona nikwambie tu. Ukiamka asubuhi mwambie nataka nikupikie chai fulani. Najua unamjua ila kakutoka rohoni ndio maana humpikii anachokipenda. Angalia atakacho jibu. Usivunjike moyo akavyokataa fanya kama ulikuwa unamkejeli ila akikubali pika vizuri anywe ukiwa pembeni naye ila usianzishe mazungumzo. Fanya hivyo wiki kwa vitu tofauti tofauti yaani unaweza mwambie leo nataka unit..mbe. Kama ataonesha kubadilika halafu muombe kitu kimoja . Usimwambie weekend tushinde pamoja ila mwambie juma pili ukitoka kanisani au Ijumaa ukitoka msikiti. Au ukifunga duka nataka tukae sehemu japo lisaa limoja nina stori nataka nikusimulie. Akikubali kwenye hiyo story muulize nilikuambia nataka kuwa mke mpya je nimekua maana nikiwa mke mpya nakuwa mpya kwako vipi unaona nimekuwa mpya. Atakwambia ndio au hata kabla ya hiki Kakao yeye atakwambia umekuwa mpya wiki hii. Maanaumesema nanajirudi, japo kimsingi yeye ndiye atakuwa mume mpya . Nb kwa kipimo mnacho wapimia wenzenu nanyi mtapimiwa hicho hicho. Mpimie kipimo kizuri. Mimi siyo msomi wa ushauri wa ndoa ila huwa nashauri masuala ya ndoa kwa njia ya Jadi kama babu yangu alivyokuwa anafanya. Naomba Kama utafuata njia hii nipe mrejesho hapa hapa hata kama haiwi kama unavyotaka. Kuna mama alikuwa na tatizo kama hili tukilitatua
 
Tafta furaha yako tu hafu miaka 15 huyo mwanaume atakuwa hata hakut... vizuri hana nguvu za kiume tafta kibeten kikukojoze aisee utashangaa unamuona mjinga.
Dah mimi baby wangu hata afanye nini siumii nahrshimu uamuzi wake kutafta starehe ya kumuridhisha basi, so na mimi nafanya yangu.
Umri huu nimekua staki kuumizwa na mjinga yoyote awe Babu, mume sijui nini woooi I don't care life is too short kuumizwa na uamuzi wa mtu mwingine aisee
Pole,maana maisha ya ndoa huyawezi kabisa.
 
Utawasikia ooh sisi hata tukichepuka, bado tunawapenda wake zetu na hatutelekezi familia. Pambafffff mtu anabadilika hadi watoto wake mwenyewe wanamuogopa mxieeew

Yaani sie wa miaka 15 -20 tunakuelewa vizuri sana


Sasa upate mwanaume limbukeni akipata demu mpya matako yanamlia mbwata yeyeyeyeyeyeyeye!!!!!!!!

Situation ya huyu dada niliipitia kipindi fulani.......


Yaani jamaa dharau yeye, kiburi yeye, ni kufokafoka kama cobra!!!! Mpaka watoto wakamuogopa.

Nilichoamua ni kuishi maisha yangu....

Ya nini wewe unakonda mwenzio anarudi mwepesiiiiiiiiii anajinunisha ili usimguse.

Cha kufia nini....kifanyio chake...hela anayohonga yake....mwili wake....utamu anapata yeye

Kwanza unamtoa tu.moyoni na rohoni........

Kisha tafuta hela.... na funga kizazi au weka kitanzi

Tatu kula bata mpaka kuku waone wivu...


Nne unavuta kibenten kinachojua kusimamia kucha na kukata viuno

Tano maisha yanakuwa yako na wanao tu


Akishtuka tayari manyoya tu!!!!!!
 
Utawasikia ooh sisi hata tukichepuka, bado tunawapenda wake zetu na hatutelekezi familia. Pambafffff mtu anabadilika hadi watoto wake mwenyewe wanamuogopa mxieeew
Hehe siku hizi kuna wanawake nao ni mapro! Wana uwezo wa kuchepuka na heshima kwa mume iko pale pale na wakati kuna wanaume wakichepuka wanaanza dharau na kusahau kabisa familia!

Yaani siku hizi dunia iko vice versa kwenye mambo mengi sana hasa haya ya jinsia nashangaa tu kwanini kaka zetu hawataki kukubali hili! Zamani ilizoeleka wanaume wote ni wagumu na wanawake wote ni walaini ila siku hizi kuna wanaume walaini na wanawake wagumu vile vile na maisha yanaenda poa tu kikubwa uhai!
 
Ongeeni

Muulize...what happened to us?
Why did he cheat/is he still doing it?
Anahisi unajiskiaje?
Ukifanya hivyo na wewe yeye atajiskiaje?


I believe in conversations...
Frm easy ones to difficult ones
Msikilize...subra yahitajika..

Na we sema how you feel...

Aliyekosa aombe msamaha
Mapungufu yajadiliwe...
Way forward?

Jipeni muda...depends na jinsi mlivyo mana mazungumzo km haya yaweza chukua ht wiki tu ama mwaka na zaidi ndo mkajikuta mko sawa or still not...
Si rahisi kuongea...bt wth time inawezekana...
umeongea Theories tupu...doesnt work that way..
 
Utawasikia ooh sisi hata tukichepuka, bado tunawapenda wake zetu na hatutelekezi familia. Pambafffff mtu anabadilika hadi watoto wake mwenyewe wanamuogopa mxieeew
Acha kabisa

Tena hawachelewi kulaimu mwanamke utafikiri huyo mwanamke kajioa mwenyewe


Maisha mafupi sana aisee


Na tunaishi mara moja tu


Heri kutafuta amani ya moyo na furaha ya roho
 
Ilitokea kwa jirani yangu baada ya kuhisi mke anachepuka na rafiki wa familia ,mume amemchukia sana mke na hata kufikia kumtangaza kwa watu kuwa ni Malaya. Juzi Kati akasikika sehemu akisema huyu mke wangu amenitoka mpaka basi natamani kuachana naye.nimemsihi amsamehe mke wake lakini hajanielewa kabisa.

Kwa hiyo nakubaliana haya mambo yapo cha msingi yanapokupata msameheane na mwenzako maisha yaendelee.
najitahidi.

natumaini kupata uzoefu kwa waliopitia waliwezaje kusamehe na kuvuka hilo!!
 
Ongeeni

Muulize...what happened to us?
Why did he cheat/is he still doing it?
Anahisi unajiskiaje?
Ukifanya hivyo na wewe yeye atajiskiaje?


I believe in conversations...
Frm easy ones to difficult ones
Msikilize...subra yahitajika..

Na we sema how you feel...

Aliyekosa aombe msamaha
Mapungufu yajadiliwe...
Way forward?

Jipeni muda...depends na jinsi mlivyo mana mazungumzo km haya yaweza chukua ht wiki tu ama mwaka na zaidi ndo mkajikuta mko sawa or still not...
Si rahisi kuongea...bt wth time inawezekana...
kuna kipindi nilijaribu kumuomba tutoke...
aliniangalia tu kama nyanya mbichi...

labda kwa kuwa siku hizi kawa mpole nijaribu, ingawa ilishanitumbukia nyongo.

matokeo yake natoka mwenyewe au weekend na watoto!!!
 
Kweli Kabisa shida kukubali kosa... Mwingine anaanza na kukuhesabia ya kwako ya Nyuma kama defensive wall Ili msijadili.. Wakati mwingine huna Nia ya kumuhukumu ni lengo ajue hili si jema awe na Nia ya kuacha abadilike lakini vita itakayozaliwa unaweza kujuta kumfahamu Mtu....!! Nimewahi kushuhudia mke wa Mtu anafanya ujinga kakutwa na Sms za Utata Bado anatishia kuwa hakuna wa kumpangia kuwasiliana simu kanunua kwa Hela yake..!! Mwanaume kajishusha yaende lakini wapi miaka miwili baadae Ile ndoa ya miaka 10 iliyeyuka Bado mwanaume akawa anambembeleza mke wayaweke sawa wapi. Mwanamke kagoma watoto wanahangaika Mume kachanganyikiwa yaani tabu tupu
dah

inasikitisha. haswa linapokuja swala la watoto!!
 
Back
Top Bottom