Wanawake, mnaponyaje maumivu ya kusalitiwa na wenza wenu?

hahahah
 
Hapo mume anatakiwa awe mpole kupitiliza, ndiyo imani itarudi na upendo arudishe yeye kuanzia kwa watoto na mama yao ndiyo utajenga imani asipofanya hivyo hutamuamini ng'ooo
kwa kweli kumuamini ni shida.

ukizingatia kuna kujihami asije kukuvuruga tena!!
 
miaka miwili mkeo hamu zake anamalizia wapi?

zako unamalizia wapi?

kuoa bi mdogo ndio kutasaidia?

lengo la ndoa yenu nini?

kwa nini mlioana ?

 
Ngoja niwe msomaji maana ni kama umeniandikia huu uzi. Nimeshindwa kabisa kurudi katika hali ya awali na kuzaa zaidi nimesitisha rasmi, wanangu wawili wananitosha na ndio niko busy nao. Yeye aendelee tu na mambo yake hata sijali tena.
pole.

mie baada ya kujionea mapichapicha mengi niliamua kufunga tu kizazi, as njia nyingine kwangu sio rafiki na kuwekeza nguvu zangu kwa hawa nilionao.
 
halafu unajua mnatutia majaribuni sana

imagine miaka yote ya ndoa sijawahi kutoka nje

mpaka nikawaza hivi hawa wanaonipigia misele si nichague tu mmoja nipumzishe moyo...

sema tu nilimshinda shetani.....ila kawazo kanakuja kanaondoa...mbele kugumu jamani oooh
 
kuna kipindi nilijaribu kumuomba tutoke...
aliniangalia tu kama nyanya mbichi...

labda kwa kuwa siku hizi kawa mpole nijaribu, ingawa ilishanitumbukia nyongo.

matokeo yake natoka mwenyewe au weekend na watoto!!!
Wanaume hatuja zoea kutoka out na wake zetu hiyo tabia tume ikuta kutoka Kwa wazaz wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna kipindi nilijaribu kumuomba tutoke...
aliniangalia tu kama nyanya mbichi...

labda kwa kuwa siku hizi kawa mpole nijaribu, ingawa ilishanitumbukia nyongo.

matokeo yake natoka mwenyewe au weekend na watoto!!!
Dah inaudhi sana sio siri
Dawa yake ndo hio kumlia kavu tu na yeye...

Bt kuongea kunasaidia mana muda mwingine mtu anahisi hajakosea kitu!kumbe mwingine unaumia
 
Wanawake wa siku hizi Vs Wanaume wa siku hizi
 
Eeh wenyewe huwa hawakosei; kila wanachofanya, chanzo ni mwanamke
Acha kabisa

Tena hawachelewi kulaimu mwanamke utafikiri huyo mwanamke kajioa mwenyewe


Maisha mafupi sana aisee


Na tunaishi mara moja tu


Heri kutafuta amani ya moyo na furaha ya roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…