Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadai zingine zinazozid za kuchukua uber na matatizo mengine kiongozi.20Γ5 ni 200, 30Γ5 ni 300?? Umepika haraka haraka sana hadithi yako..delusions sio poa come back to reality
Akikupa usisahau ya vocha basi bidada.maisha kusaidiana haya na mungu atakubarikiπ π π π π π Nakuja pm
π π π π ngoja niwahiAkikupa usisahau ya vocha basi bidada.maisha kusaidiana haya na mungu atakubariki
We sindio ulisema una mapenzi halali, mbona hukimbilii kwa Zero IQπ π π π ngoja niwahi
Haya ni mapenzi halali kabisaaaWe sindio ulisema una mapenzi halali, mbona hukimbilii kwa Zero IQ
Tulia watu tuwahi pmUkichambua kwa makini kwenye huu uzi kuna mchele pia.
[emoji23][emoji23]
sawa mama wa fursaπ,,,usishangae mwisho wa siku bills ukalipishwa wewe...mjini hapa!Haya ni mapenzi halali kabisaaa
π π πsawa mama wa fursaπ,,,usishangae mwisho wa siku bills ukalipishwa wewe...mjini hapa!
Mkuu naomba millioni mbili kuna mzigo nataka kuagiza chinaHuku nilipo tumepishana na Tz Masaa mawili. Nmeamka nikaenda GYM hapa hapa Hotel. Huku kwa wenzetu Five Star Hotels lazima ziwe na Gym. Sisi ambao hatuna stress na miili ina shukrani usipoenda Gym utanenepa sana.so huwa najitajidi sana ni train.
Nmesoma thread ya mtu mmoja anasema aliitwa tapeli baada ya kuwa na tsh 2,000,000 ya mtu ingawa yeye naona aliandika 200,000.
Nikawaza Mil 2 mtu unaweza sema umetapeliwa?au unataka kutapeli? Kama ni hivyo basi mi naongoza kwa kutapeliwa. Mwaka jana kuna mtu alisema anauza mayai ya kuku wa kienyeji humu ndani.
Nikamfuata akanambia tray moja ni tsh 20,000. Nikamwambia anipatie tray 5. Nikamtumia 200,000 na ya kutolea.ikapita week, mwezi ,miezi basi mi nikajua anasubiri kuku watotoe.wala sikumtafuta tena.
Baada ya muda akaja ntafuta kutangaza anauza mayai ya kuku wa kienyeji nikamuuliza tsh ngapi akanambia tray 30,000. Nikamwambia anipatie 5. Nikamtumia tsh 300,000 ya kutolea na nyingine achukue Uber alete oysterbay. Nlimwambia ntampa na ya kurudia asihofu. Hakutokea. Basi nikahisi amepata tatizo.nikamtumia tena 50,000 aweke credit kwenye simu ili kama kuna shida ananambie.mpaka leo kimya.
Nmekuwa nikiwaza jamaa alipatwa na tatizo gani?maana unaweza kuta aliugua au aliishiwa mtaji au any problem.so najikuta namwonea huruma tu huko aliko.
Sasa hawa jamaa wanabishana kwa vihela vya kawaida sana.na nmesoma wote wanaonekana kuwa ni wanaume.hiyo pesa ndogo isivunje urafiki wenu wana JF. mmoja akasema alishindwa wasiliana na mwenzie sababu anatumia simu ya Torch.
Nikashangaa kama hana pesa si angenunua hata samsung ya 500,000- 800,000. Hizi si zipo? Why uhangaike na simu za gharama wakati za bei rahisi zipo ?
Mwaka jana there was a girl from dodoma alinambia anataka aje dar aonane na ndugu zake wana tatizo hana nauli.then angeniona pia face to face.nikamtumia 350,000 za nauli achukue plane aje dar.
Amepokea tu na simu yake ikazima.maana nlipiga simu nimuulize atafikia wapi.hakupatikana.siku nikasoma kwenye uzi flani anasema alimchuna mbuzi 350,000 akamdanganya akatupa na line.nilishangaa sana. Yaani upoteze mawasiliano na watu sababu ya tsh 350,000? Utapoteza tsh ngap hapo?
Mimi sikulalamika nikaona kuna watu wamekulia mazingira ya kimaskini.but huyo dada yumo JF na shida zake hazikuisha siku ile bado anazo namsoma namwona ana matatizo coz anabadili tu IDs but she is the same.
Nikawaza wanaume wanalalamika vijicent kidogo tu na kutishiana...why? Sasa wanawake wanapewa sh ngap toka kwa wanaume wao? Mbona sisi wengine tunatoa pesa a lot of money na sex hatudai?tunatoa kama msaada.
Sasa mtu akihonga tsh mil 1,000,000 plus si atataka apige bao 10 ndani ya saa moja?ndo chanzo cha watu kununua unga wa congo.coz mashine haisimami vizuri kwa kuwa anawaza pesa alizohonga ,njaa na matatizo yake.
Mi nashauri tusaidiane tu kimoyo safi.na pia tuwe waungwana humu ndani watu wote tupo sisi wenye akili,wenye vijicent na wale wasio na hivyo vitu. Hatutakiwi kunyanyasana.humu ndani wapo wakirugenzi wa makampuni makubwa sana.
I know 5 big people in Tz Are here. Siku moja nipo na mmoja wao Canada akawa ananisimulia hbr za JF. mmoja alilazwa India nlipita msalimia akawa ananisimulia walivyomuandika JF. so anatumia ID fake ili apate news mbalmbali.
Sisi wengine hatujui chuki ni nini...huwa nashangaa watu ambao huonesha wana chuki, hasira na kisirani. Why? Maisha ndo haya haya...why ukonde na kuumia kipuuzi tu?
Wadau tufanyeni kazi,tuheshimiane na kupendana. Haina haja ya kuchukiana au kuwekeana beef. Haya maisha tu hatuzidi miaka 100 dunian.why holding grudges ?
Anyway ntakuwa TZ after three days. Ntapenda to meet some of the positive mind people.napenda marafiki ambao wana positive vibration.unaweza ukawa tajiri wa akili maskini wa mtaji.tuangalie tunafanyaje.
Dada zangu nawapongeza sana kama mnaweza date mwanaume ambaye anadai pesa ndogo kama hiyo basi wadada mna moyo mzuri sana. Ndo maana sisi ambao tunatoa vicent mnatuita mbuzi.
wanaume wakakuomba hela?Yani huezi sikuwai kukutana na gifted kama wewe,nasema hivo kwa kua nime date na wanaume kadhaa wakaniomba hela kiwango cha Chino elf hamsini na nilipo watumia waliniblock ila mimi nilifurahi Tu kwakua nilijua atakua anashida na mimi nimemsaidia
Duuu nimesoma hadi paragraph ya 3 nimeshindwa kuendelea..... sijui kuna aliyeimalizia hii story anipe summary yale hata kwa mstari mmoja tu.....Huku nilipo tumepishana na Tz Masaa mawili. Nmeamka nikaenda GYM hapa hapa Hotel. Huku kwa wenzetu Five Star Hotels lazima ziwe na Gym. Sisi ambao hatuna stress na miili ina shukrani usipoenda Gym utanenepa sana.so huwa najitajidi sana ni train.
Nmesoma thread ya mtu mmoja anasema aliitwa tapeli baada ya kuwa na tsh 2,000,000 ya mtu ingawa yeye naona aliandika 200,000.
Nikawaza Mil 2 mtu unaweza sema umetapeliwa?au unataka kutapeli? Kama ni hivyo basi mi naongoza kwa kutapeliwa. Mwaka jana kuna mtu alisema anauza mayai ya kuku wa kienyeji humu ndani.
Nikamfuata akanambia tray moja ni tsh 20,000. Nikamwambia anipatie tray 5. Nikamtumia 200,000 na ya kutolea.ikapita week, mwezi ,miezi basi mi nikajua anasubiri kuku watotoe.wala sikumtafuta tena.
Baada ya muda akaja ntafuta kutangaza anauza mayai ya kuku wa kienyeji nikamuuliza tsh ngapi akanambia tray 30,000. Nikamwambia anipatie 5. Nikamtumia tsh 300,000 ya kutolea na nyingine achukue Uber alete oysterbay. Nlimwambia ntampa na ya kurudia asihofu. Hakutokea. Basi nikahisi amepata tatizo.nikamtumia tena 50,000 aweke credit kwenye simu ili kama kuna shida ananambie.mpaka leo kimya.
Nmekuwa nikiwaza jamaa alipatwa na tatizo gani?maana unaweza kuta aliugua au aliishiwa mtaji au any problem.so najikuta namwonea huruma tu huko aliko.
Sasa hawa jamaa wanabishana kwa vihela vya kawaida sana.na nmesoma wote wanaonekana kuwa ni wanaume.hiyo pesa ndogo isivunje urafiki wenu wana JF. mmoja akasema alishindwa wasiliana na mwenzie sababu anatumia simu ya Torch.
Nikashangaa kama hana pesa si angenunua hata samsung ya 500,000- 800,000. Hizi si zipo? Why uhangaike na simu za gharama wakati za bei rahisi zipo ?
Mwaka jana there was a girl from dodoma alinambia anataka aje dar aonane na ndugu zake wana tatizo hana nauli.then angeniona pia face to face.nikamtumia 350,000 za nauli achukue plane aje dar.
Amepokea tu na simu yake ikazima.maana nlipiga simu nimuulize atafikia wapi.hakupatikana.siku nikasoma kwenye uzi flani anasema alimchuna mbuzi 350,000 akamdanganya akatupa na line.nilishangaa sana. Yaani upoteze mawasiliano na watu sababu ya tsh 350,000? Utapoteza tsh ngap hapo?
Mimi sikulalamika nikaona kuna watu wamekulia mazingira ya kimaskini.but huyo dada yumo JF na shida zake hazikuisha siku ile bado anazo namsoma namwona ana matatizo coz anabadili tu IDs but she is the same.
Nikawaza wanaume wanalalamika vijicent kidogo tu na kutishiana...why? Sasa wanawake wanapewa sh ngap toka kwa wanaume wao? Mbona sisi wengine tunatoa pesa a lot of money na sex hatudai?tunatoa kama msaada.
Sasa mtu akihonga tsh mil 1,000,000 plus si atataka apige bao 10 ndani ya saa moja?ndo chanzo cha watu kununua unga wa congo.coz mashine haisimami vizuri kwa kuwa anawaza pesa alizohonga ,njaa na matatizo yake.
Mi nashauri tusaidiane tu kimoyo safi.na pia tuwe waungwana humu ndani watu wote tupo sisi wenye akili,wenye vijicent na wale wasio na hivyo vitu. Hatutakiwi kunyanyasana.humu ndani wapo wakirugenzi wa makampuni makubwa sana.
I know 5 big people in Tz Are here. Siku moja nipo na mmoja wao Canada akawa ananisimulia hbr za JF. mmoja alilazwa India nlipita msalimia akawa ananisimulia walivyomuandika JF. so anatumia ID fake ili apate news mbalmbali.
Sisi wengine hatujui chuki ni nini...huwa nashangaa watu ambao huonesha wana chuki, hasira na kisirani. Why? Maisha ndo haya haya...why ukonde na kuumia kipuuzi tu?
Wadau tufanyeni kazi,tuheshimiane na kupendana. Haina haja ya kuchukiana au kuwekeana beef. Haya maisha tu hatuzidi miaka 100 dunian.why holding grudges ?
Anyway ntakuwa TZ after three days. Ntapenda to meet some of the positive mind people.napenda marafiki ambao wana positive vibration.unaweza ukawa tajiri wa akili maskini wa mtaji.tuangalie tunafanyaje.
Dada zangu nawapongeza sana kama mnaweza date mwanaume ambaye anadai pesa ndogo kama hiyo basi wadada mna moyo mzuri sana. Ndo maana sisi ambao tunatoa vicent mnatuita mbuzi.
Tray la mayai elf 30 ni ya mtu au?