Wanawake mnavumilia sana Kudate Wanaume wa Kitanzania

Ila Mkuu mbona mwandiko wako ni mchanganyiko wa masikini na sampuli ya uben10 hivi?
 
Kwa akili yako unaamini kabisa mtu auziwe mayai mara mbili tena kwa bei tofauti halafu akae kimya, hapo hapo aongezee 50k ya Uber! Huu ni utani aisee!
Kwa akili yako huna sense of humor
 
Daaah!!! Mtoa Uzi nayeye naye kiazi kweli kweli sasa unaagiza trey 5 unalipia 200000 huu si umama wenyewe huu I see.....pesa yangu haitoki kizembe hivyo yaani unafanya biashara na mtu ambaye hata kuonana hamjawahi kuonana halafu unatuma pesa ndefu hivyo kisa eti unajitapa unapesa mxeeeeuuu....katambike huko na pesa zako hizo
 
Bila Shaka humjui Kiduku Lilo ndio maana ume-comment hivyo.
 
nilijaribu kusoma kabla hata sijamaliza mistari mbili nimehisi kichefuchefu ya mwaka. yaani shukuru mungu mie si moderator wa jf hii ujinga ungebaki nayo kule kijijini kwenu. ukahadithie watoto wenzio. kumpafu.
 
Hahaha
kidukuuuuuuuuulilooooooooooo,hahahahahaaaaaaaaaaaaaa,nimesoma mistari miwili tu kwny thread yako nikajikuta nimecheka sanaaaaaa,,,,,,,,,,et kaandika 200,000 badala ya 2,000,000,,,,,,,,,,aisee we jamaaa mambo yako ni nyoko sana,ukifanya ziara na wacanada huku songea hakikisha tunaonana mkuu,
 
Eti nilijua labda ameishiwa mtaji

Back
Top Bottom