Wanawake mnavumilia sana Kudate Wanaume wa Kitanzania

Du hatari sana.umesaidia watu tulia kimya ayo majigambo inaonekana kuna tatizo.
Sisi wenye vipesa mbuzi hatutaacha kuitana matapeli.


Mtu kachukua fedha yako bila mawasiliano hayapo,mzigo ajakupa unataka umwite mtakatifu?.
 
Mkuu naomba millioni mbili kuna mzigo nataka kuagiza china
 
Duuu nimesoma hadi paragraph ya 3 nimeshindwa kuendelea..... sijui kuna aliyeimalizia hii story anipe summary yale hata kwa mstari mmoja tu.....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapa nmecheka kinyama aisee. Mayai ya mtu hayo. Jamaa pesa anazo so anamaanisha wanambambikia halafu hajui bei zake.but wala hajali.🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Tray la mayai elf 30 ni ya mtu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…