Wanawake mnavumilia sana Kudate Wanaume wa Kitanzania

Hebu waambie hawa wenzio waliotawaliwa na roho za ukata, kutwa pesaaa pesaa, kelele sasa mitandaoni na hasa humu jf kuwa wanawake na wasichana wanataka pesaa pesaaa oneni sasa mwenzenu roho nyeupeee peee, nyie mkitoa hizi pesa mtadai mpaka maini za wasichana wa watu, shame on you!!
Naona na wengine eti wanadai mpaka wapewe naked photos eti ndio wamwamini lady anayeomba kukopeshwa
That’s why I like you some kidukulilo
 
Yule ni mrongoooo tu.....
 
Huwa najiuliza sana mwanamke wa kitanzania anaweza vipi ku date na mwanaume kapuku kama Kiduku Lilo.

Mtu ambaye kununua mayai tray 5 kwa mia 2 elfu anaona ni big deal hafai hata kula chakula cha mbwa wangu.
 
Kwa akili yako unaamini kabisa mtu auziwe mayai mara mbili tena kwa bei tofauti halafu akae kimya, hapo hapo aongezee 50k ya Uber! Huu ni utani aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…