Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 793
Jirani mimi shabiki yake nikiona thread zake kwakweli siku yangu huwa inaisha vizuriJirani kumbe huwa unamfuatilia huyu jamaa!??
Anapunguza Stress sana huyu
Jirani mimi shabiki yake nikiona thread zake kwakweli siku yangu huwa inaisha vizuri
Kwa akili yako huna sense of humorKwa akili yako unaamini kabisa mtu auziwe mayai mara mbili tena kwa bei tofauti halafu akae kimya, hapo hapo aongezee 50k ya Uber! Huu ni utani aisee!
Tena haswa humu jf jiraniJirani nami huyu jamaa ameanza kunibariki...
Maisha bila burudani yanakuwa magumu zaidi.
Hahahaha kwenye ubora wako kabisa kiduku lilo mtu na pesa zake
kapeace ebu pita huku mama rafiki yetu ameshusha thread
Hahahahaha hata mimi Miss kanichekesha sanaNimecheka comment ya miss natafuta anauliza mayai ya 30k kwani ya mtu?
Kiduku hii haileweshi tuandalie ile kali ya kuunguza mapafu,,
Bila Shaka humjui Kiduku Lilo ndio maana ume-comment hivyo.Daaah!!! Mtoa Uzi nayeye naye kiazi kweli kweli sasa unaagiza trey 5 unalipia 200000 huu si umama wenyewe huu I see.....pesa yangu haitoki kizembe hivyo yaani unafanya biashara na mtu ambaye hata kuonana hamjawahi kuonana halafu unatuma pesa ndefu hivyo kisa eti unajitapa unapesa mxeeeeuuu....katambike huko na pesa zako hizo
nilijaribu kusoma kabla hata sijamaliza mistari mbili nimehisi kichefuchefu ya mwaka. yaani shukuru mungu mie si moderator wa jf hii ujinga ungebaki nayo kule kijijini kwenu. ukahadithie watoto wenzio. kumpafu.
kidukuuuuuuuuulilooooooooooo,hahahahahaaaaaaaaaaaaaa,nimesoma mistari miwili tu kwny thread yako nikajikuta nimecheka sanaaaaaa,,,,,,,,,,et kaandika 200,000 badala ya 2,000,000,,,,,,,,,,aisee we jamaaa mambo yako ni nyoko sana,ukifanya ziara na wacanada huku songea hakikisha tunaonana mkuu,
kidukuuuuuuuuulilooooooooooo,hahahahahaaaaaaaaaaaaaa,nimesoma mistari miwili tu kwny thread yako nikajikuta nimecheka sanaaaaaa,,,,,,,,,,et kaandika 200,000 badala ya 2,000,000,,,,,,,,,,aisee we jamaaa mambo yako ni nyoko sana,ukifanya ziara na wacanada huku songea hakikisha tunaonana mkuu,