Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hivi Nakadori yupo wapi siku hizi, naulizia tu sijasema chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanijibu
Shem nakutania tu usini mindShem kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Muogope Mungu
Shem nakutania tu usini mind
Wee kuna mwanamke asietaka kuolewa? Wote humu wanatukandia lakini wanatamani tuwaoe.😅😅😅 kwani Kelsea kakuambia anataka ndoa mwaka huu, au unamlisha maneno tu ... ila hivi wadada wa JF wanaolewa kimya kimya bila kutupa hata vicard
Ongezaaa sautiiii, umma was JF ujue.Haachwi mtu hapa
Mimi na wewe mpaka baaasi
Wee hebu sema kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simu yangu ili hackiwa[emoji28]
Sikua mimi
😅😅😅😅 market ngumu kwaiyo .. na humu ni wazeewa chapa ilaleWee kuna mwanamke asietaka kuolewa? Wote humu wanatukandia lakini wanatamani tuwaoe.
Wao kwa ujinga wao ndio wanafanya mambo yawe magumu. Wangejitambua mbona watu tungeoa tuu. Tatizo ni ubinafsi wao😅😅😅😅 market ngumu kwaiyo .. na humu ni wazeewa chapa ilale
Na kweli wabinafsi sana . 😅😅Wao kwa ujinga wao ndio wanafanya mambo yawe magumu. Wangejitambua mbona watu tungeoa tuu. Tatizo ni ubinafsi wao