Wanawake mngejua...

Wanawake mngejua...

pape, iwapo iwapo mwanandoa akiwa msiri sana na mwangalifu halafu mwenzie nae akawa hivyo hivyo,
matokeo yake kila mtu atamuona mwenzie malaika na maisha yatakuwa saaaaaafi sana lakini siku ya mwisho,Mungu atawaambia ondokeni kwangu siwajui.........
hehehehehehe, dua la kuku halimpati mwewe!
 
Sio kweli.wanawake wengi wana upendo wa dhati kwa waume zao na wala hawatamani kabisa kutafuta wa nje na ndio maana ushahidi upo kwenye wanawake wenye nyumba ndogo ni wachache kuliko wanaume.Yani wanawake wanavumilia waume zao hata kama wana madhaifu makubwa na ndio huruma tunayosema hapa.
hao unaosema mabinti wana wanaume wengi ni asilimia ndogo ya wanawake wengi wanaojiheshimu.na isitoshe hapa tunaongelea ndoa kama nimekuelewa vema vema sio huo upuuzi wa kudanganyana chuo
Na ukweli ni kwamba ukikuta mwanamke katoka nje ya ndoa ujue kuwa kafikia maximum limit ya uvumilivu,huyo mme ameshindikana.Na wengi wanatoka kama revenge kwa waume zao au waume zao wapo bize sana hawawatimizii mahitaji yao.

Tobaa...hommie hapa itakuwaje? itabidi uache kazi!
 
Tobaa...hommie hapa itakuwaje? itabidi uache kazi!

Kazi unafanya na mahitaji unatimiza vile vile, kwani kwa kawaida masaa ya kazi ni 45 kwa wiki katika nchi nyingi duniani. sasa kama unataka kufanya overtime shauri yako, watu watakumwgea mkeo!
 
come to think of that, i presume she might be beautiful. Wanaenda nje kwa kuwa vya nje vinazidi vya ndani

Ongea na mkeo unataka aonekane vipi? Akishakuwa vile wewe unataka nadhani hautatamani vya nje.
 
Omwana, nikishasema awe na makalio mazuri na dimpoz vitatokea?
 
Omwana, nikishasema awe na makalio mazuri na dimpoz vitatokea?

Kingi hamaanishi features za mwili; kwani hilo hukuliona ulipomchagua kwanza? wacheni zeni hizo mbona mnataka kuhalalisha mabaya?😡
 
Kingi hamaanishi features za mwili; kwani hilo hukuliona ulipomchagua kwanza? wacheni zeni hizo mbona mnataka kuhalalisha mabaya?😡

umemsoma vizuri omwana? Maana ya kuonekana ni ipi? Pia mada inasema waume hujuta kwa nini walioa mapema wakikutana na wanawake wenye mvuto
 
Hata wanawake walioolewa nao wangaependa kuolewa tena ili kupata kitu kipya.
 
umemsoma vizuri omwana? Maana ya kuonekana ni ipi? Pia mada inasema waume hujuta kwa nini walioa mapema wakikutana na wanawake wenye mvuto

...nimesoma '(na nimeelewa!)' humu humu kwenye JF-Mahusiano na mapenzi, wenye kujuta wana IQ ndogo, full stop!
 
Hata wanawake walioolewa nao wangaependa kuolewa tena ili kupata kitu kipya.

Ndio maana siku hizi idadi ya wanawake wanaokwenda nje ya ndoa inaongezeka.

Tena mwanamke akienda nje ya ndoa ni ngumu sana kumjua, anasafisha na kukausha huko huko au hata nyumbani kwake. Mumewe akirudi anapigiwa mayowe, anadhani mwenzi anaenjoy kumbe ni funika kombe mwanaharamu apite.

Do not underestimate a woman. You rub her back she rubs yours.
 
Hii imetulia.......
 
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho zaidi. Ndipo ninaporudia kauli yangu kuwa uislam uliona mbali kuruhusu mitala.

Ha ha ha haaaa, Kingi umenichekesha sana, mimi nilidhani utasema huna mpango wa kuoa kabisa? hata ukioa miaka kumi ijayo bado utakutana na wanaovutia tu. na kwa bahati mbaya wanaovutia wapo wengi, sasa sijui utafanyaje ndugu yangu; yaani nakuonea huruma tu
 
Labda kuna ukweli, kuna kaka mmoja aliwahi kuniambia wanaume kwa asili wanapenda mahusiano mapya ndio maana baada ya muda huwa wanaanzisha mahusiano mengine hata kama hayana maana yeyote kwao - anaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa mke au mpenzi wake lakini akaanzishaa na mahusiano mapya - just for the sake of it! Nadhani kwa wale wachumi wanaweza kuilezea hali hii kwa graph kwamba wanaume graph yao ni downward sloping sababu ya negative relationship kati ya mapenzi na mazoea (wachumi tafadhali msahihishe)!

Annina
 
Annina, mbona kama mimi naona contradictions kati ya blue na red? wakati red inasema kuwa kwa kadiri unavyomzoea mwanamke mapenzi yanapungua, blue inasema kuwa mahusiano mapya yanaanzishwa tu kwa sake ya kuwepo na sio kwamba unakuwa humpendi tena mpenzi wako uliyemzoea.
I bet to agree with you kwenye blue, ni kweli mahusiano mengine huwa yanaanziashwa tu with no reason, na hata ukimwuliza muhusika kwa nini alifanya hivyo atakujibu tu sababu I was stupid
 
Asante Fixed Point, naona tuko pamoja kwamba mazoea yanapunguza mapenzi kwa kiasi fulani, ndio sababu ya kuanza kwa mahusiano mengine mapya - hii haimaanishi kutompenda mke/mpenzi wa ulienae isipokuwa mazoea yameondoa ule msisimko wa awali unaochochewa na upya! Hii ni kwa mujibu wa wanaume wenyewe - (mimi sio mwanaume na sijawahi kuwa mwanaume) lakini naamini tunazungumza lugha moja... asante kwa kunielewa!

Annina, wewe na Fixed Point kimsingi mnazungumza kitu kimoja na mimi sikubaliani nanyi. wewe nitakusamehe kwa vile si mwanume na hujawahi kuwa mwanume, mimi kwa uzoefu wangu ni kuwa watu wengi hawaelewi wanapendeana nini. mtu halisi si yule anayeonekana, la hasha mtu halisi ni yule asiyeonekana. hivyo watu wanaoamini kuwa wanapendana ambao mapenzi yao yamebase kwenye muonekano wa mwenzie ndiyo yenye negative relationship na wakati kwani mwili ukizeeka unapunguza mvuto wake.

upande mwingine, watu waliopendana kwa kubase kwenye hobby, tabia, interests experience na mambo mengine kama hayo yasiyoonekana, graph yao ina positive relationship kwani kadiri mtu anavyozeeka ndivyo mambo hayo yasiyoonekana huwa nayo yanaimarika. hivyo wale watu mnaowaona wanapendana sana uzeeni, ni kwa sababu mapenzi yao yalibase kwenye vitu hivyo...

nawasilisha
 
Back
Top Bottom