Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,487
- 83
hehehehehehe, dua la kuku halimpati mwewe!pape, iwapo iwapo mwanandoa akiwa msiri sana na mwangalifu halafu mwenzie nae akawa hivyo hivyo,
matokeo yake kila mtu atamuona mwenzie malaika na maisha yatakuwa saaaaaafi sana lakini siku ya mwisho,Mungu atawaambia ondokeni kwangu siwajui.........