Wanawake msijisahau kupita kiasi

Wanawake msijisahau kupita kiasi

.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna mdada namuona apa kila siku lazma apate nusu kilo ya ktimoto na castle lite mbili uyu mpka mwez uishe ata pasuka tumbo
 
Diploma inahusiana vp na kitambi? Wewe ni mshamba?
Kwa umri wake inanishangaza kuwa na kitambi ingawa yeye hawazi.
Masuala ya ushamba umeamua kuyasema, ni kama alivyosema Harmonize.
 
Sipendi kitambi ila kinanipenda hatari.Ila sijakata tamaa nakazana na mazoezi.
 
Binafsi sina kitambi ila tumbo ninalo, nimeuliza hivyo ili kuweka sawa hii kitu

Nimefanya Kama ulivyoandika na kyupi nimeiona fresh

Kuna mtu hapa anauliza eti tutaaminije umefanya hivyo?
 
Back
Top Bottom