Wanawake msijisahau kupita kiasi

Wanawake msijisahau kupita kiasi

Utani wa ngumi huo si mnajua nyie ni jeshi kubwa.

Kwa kweli sijazungumza hivyo.[emoji23]
Na shepu zetu za funza tunadunda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwingine aliwahi niambia eti zinakuwa Kama tangawizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wanaume mmetuchoka[emoji119]
 
Si tumewachoka mmejichoka na miili yenu mkuu[emoji23]
Na shepu zetu za funza tunadunda tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwingine aliwahi niambia eti zinakuwa Kama tangawizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wanaume mmetuchoka[emoji119]
 
Hivi kwani tumbo kubwa lipoje?
Nataka nijipime

Jf.jpeg
 
Wakumbushe wengine maana kwenye mavazi wanateseka. Wewe kwenye uzi wa selfika unakataa hilo pipa halipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora wawe tu na hayo matumbo.
Likiwa dogo sana ni shida..nahangaika sipati size ya kiuno..zote kubwa.
 
Back
Top Bottom