Wanawake msijisahau kupita kiasi

Wanawake msijisahau kupita kiasi

Kuna kunenepa na kutaka kufanana umbo na funza.

Wengi hawanenepi bali wanataka kufanya maumbo yao kuwa kama funza.(Hayaeleweki tumbo lipo wapi na kiuno kipo wapi)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo maumbo yetu yanafanana na funza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakika mtu unashindwa kabisa kumtofautisha na funza.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo maumbo yetu yanafanana na funza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hello my fellow ladies, men wamesema this February" no flat tummy no valentine's gift " tumejipangaje? Tutapewa zawadi kweli[emoji3][emoji3]
Flat tummy vipi tena jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si tulikubaliana na wenye matumbo makubwa tunapewa zawadi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210128-191009.jpg
 
Back
Top Bottom