Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
-
- #61
Hivi tumbo kuitwa kubwa linatakiwa kuwa na inchi ngapi?
Na hapa Jf wapo
Tumeridhika nayo....
Kwa madongo haya .. Tunasoma na Tunapita kimya kimya.... [emoji39]
Tuache na vitambi vyetu.
Kama manzi wangu yuko diploma na ana kakitambi sembuse wanawake wenye miaka 30+
Hahahaaa afu ukute mwanamke mwenyewe ana tako Kama nyuma ya koleo afu awe wilani (NAMTUMBO) Noma
Kwani wasipopunguza hivyo vitambi nini kitawakuta
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnataka tusinenepe ??
Tuvumiliane
Tukiwa wembamba mnatusemaKila kitu kina KIASI.
Tukiwa wembamba mnatusema
Tukinenepa mnatusema.
Wanaume hamjui mnachotaka[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kunenepa na kutaka kufanana umbo na funza.
Wengi hawanenepi bali wanataka kufanya maumbo yao kuwa kama funza.(Hayaeleweki tumbo lipo wapi na kiuno kipo wapi)
Sio wanawake tu
Kitambi kinaboa kwa jinsia zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo maumbo yetu yanafanana na funza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Flat tummy vipi tena jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hello my fellow ladies, men wamesema this February" no flat tummy no valentine's gift " tumejipangaje? Tutapewa zawadi kweli[emoji3][emoji3]