Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Kwanini unajiaminisha mi Ni kimbaumbau?
Nimesema uhalisia tu mi sio mwembamba kwa Sasa, labda zamani,
-(nje ya mada) kwa sasa hips tu inagonga inch 50, nahangaika kupungua, nitafutie mtu anipe stress nipungue
Niko hapa Mama..! Hutojutia yaani, utapungua ndani ya wiki moja tu. Ukisharudia mwili wako tunaachana .. si sawa mama au bado bado ? [emoji3]