Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1.Mtengenezee mazingira ya kujiamini na kujiskia huru anapokua na wewe,
2. Mfundishe unavyotaka wewe awe.
Mwanamke kaumbiwa aibu sana, hasa kwamtu anayempenda.
Mwanamke ambae hajakuzoea vizuri hawez kujiachia achia kiboya boya kama unavyodhani.
Maana na sisi wanaume sometimes hatuishiwagi maneno,
"Yule Mdada kufika TU kashainyonya, sijakaa sawa keshanitengea mbuzi kagoma. Mara kaikalia kwa juu. Aisee Sio bure atakua Malaya Sana Yule mwanamke. Kwa ZILe style HAMNA MKE PALE"