Wanawake msituumize kihisia kwa kutoka nje ya ndoa ili kulipiza kisasi

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€yaaani angekuepo leo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ningempea yote wallah
Yote ni sababu ya kufurahia maumivu ya wanaume, alafu bado utampea mwanaume.
 
Mwanamke naye Ni binadamu Ameumbwa na hisia za mapenzi, mwanaume anawaza kwenda kumridhisha michepuko wake na huku ndani visingizio kibao tendo hamna au la manati kwanini huyo mke asichepuke?
 
Poleni sana
 
"Wanawake jitahidini kutotoka nje ya ndoa zenu mana maumivu mnayotupatia hayaelezeki na ndio maana wengine wanashindwa kuvumilia na kukatisha uhai wao au kukatisha uhai wako na wake kwa pamoja."
[emoji115][emoji115]
Kwa nini usijiongelee peke yako? Upo timamu? Mavi matupu
 
Kumbe mkuki kwa nguruwe? Ukitoka acha na mwenzio atoke aone na kufaidi hicho kinachokutoa.
 
Usichokijua ni kwamba kama Mwanamke amekupenda kweli basi Kila unachompa anakurudushia kikiwa maradufu. Ukimpa mapenzi atakurudishia mapenzi kwa wingi. Ukichepuka mara moja na akagundua basi yeye atachepuka maradufu. Hii inafanya kazi Kwa Mwanamke ambaye ana hisia na wewe deep down.

NB Acha kujipa haki za kijinga. Wote Me na Ke tunapaswa kuwa waaminifu Kwa wenza wetu. Chepuka at your own risk.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Ila wanaume ni wabinafsi [emoji23][emoji23][emoji23] akimuumiza mwanamke anakimbilia kusema ni NATURE akiumizwa yeye analalamika
Sio wote. Mimi nikiwa na Mwanamke wangu simchanganyi kabisa na wanawake wengine yaani hata iweje. Kumuumiza kihisia mtu aliyekuamini ni kujitafutia laana. Na lazima utaipata Tu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Umalaya sio tabia ya kurithi ni tabia ya kujifunza

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Ukute ni mimi et unanikomoa kwa kuliwa eti kisa nmekusaliti !!! Utaliwa sana wala sitajal na ukicheza nitakuuza kwa wahuni wenzangu bila ww kujijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ