Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sijui nisemeje lakini kiuhalisia mwanaume ukijua kuwa mke wako au mpenzi anatembea na mwanaume mwingine akili inaruka na kuwa kama mwehu na kama utashindwa kujizuia kidogo unaweza kujikuta unafanya mauaji ya kutisha.
Nayasema haya kwasababu wanawake wamekuwa hawaelewi ni nini kinapelekea mtu kumuuwa mkewe au mpenzi wake kwa sababu tu ya wivu wa kimapenzi though hutokea pia kwa wanawake wachache kuwaua wapenzi wao.
Nachotaka kushauri kwa wanawake na wanaume ukiona uhusiano/ndoa imekushinda mweleze mwenzio muachane kwa amani msije kuacha watoto wadogo bila wazazi maana mmoja atafungwa maisha na mwengine atakuwa marehemu.