Mr robert nimegundua kuwa wanawake wengi wanafikiri wadada wengi wanadhani kuwa wanavyowaza wao ndio wanaume wanawaza hivyo hivyo...
Wanakosea sana, mwanaume anatumia logic, mwanamke anatumia hisia.
Kwa mwanaume 1 + 1 = 2
Kwa mwanamke 1 + 1 = kama hisia zitasema ni 5 , 6,3,0 hayo ndio majibu.
nawaasa wadada kuwa wawazi na waaminifu kwa wapenzi wao, unapokuwa muwazi unamrahisishia mwanaume kazi ya kukuhudumia, inakuwa rahisi kujua mke wake anahitaji nini. Lakini kama itakuwa mdada unanuna, huongei, dharau , jua kabisa mumeo anakukusanyia nguvu.. nani suala la muda tu lolote laweza tokea.