mkuzi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 1,627
- 1,459
Pole sana ,hili nalo litapitaNimesikitika sana kuhusiana na kifo cha huyo dada. Nimesikitika sana sana..... Nimeumia sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ,hili nalo litapitaNimesikitika sana kuhusiana na kifo cha huyo dada. Nimesikitika sana sana..... Nimeumia sana.
Sawa mkuuUnamuonea tu Mungu!kichwa amekupa cha nini sasa kama hukitumii. Uliacha kunyonya ziwa ur first food,haikuwa kesi,labda ulishapoteza wapendwa kibao maisha yakaendelea,ukafeli shule ukatafuta option nyingine!!!aaah Leo mapenzi yakupeleke jela?utapoteza mangapi? Mtafute hata Lulu tu akupe ushauri nasaha.
HaaahaaMwanaume anayevumilia usaliti atakuwa na mchanganyiko wa roho yake, maana roho ya kiume halisi haiwezi vumilia kabisa hayo mambo
Mimi niseme tu ni kweli usaliti wa mwanamke hauvumiliki ni tofaut na mwanaume hiyo iko hivyo tangu kuumbwa kwa ulimwengu na hatuwezi libadilisha hilo.
Ila kitu kimoja nanyi wanaume mnajisahau sana jaribuni kutuheshim wake zenu maana tunajua dhahiri kuwa mnachepuka lakini msituonyeshe tafadhali fanyeni kwa akili na heshima,usipigiwe simu usiku,usitumiwe msg usiku,ukitumiwa picha futa,,hiyo simu yako ni yangu pia vipi nikishika nikakuta picha za ajabu za wanawake wengine?it hurts more.
Tambueni kwamba hakuna mwanamke mwenye akili timamu atachepuka endapo anatimiziwa kila mahitaji muhimu toka kwa mumewe na heshima anaipata wakati mwingine wanaume mnasababisha usaliti na mnajijua hamuwezi vumilia usaliti.
Nasi wanawake tuombe Mungu atupe uvumilivu na hekima ya kuhandle shida na namna sahihi ya kuzitatua

Wapo wanawake wenye huo uelewa lakini pia wengi wanavunjwa mioyo na wanaume zaonatamani wanawake wote. Wangekua nauwelawa kama wako. sidhani kama ndoa zingevunjika,N
Hamna excuse kwenye hilo swala na kila muda huwa namtaarifu kuwa hakuna dhambi isiyo vumilika kwangu kama hiyoNa ukubwa pia halina mkuu. Kabla hujatenda tafakari kidogo haya.
Ulimtoa wapi
Ulimkutaje
Wewe ni msafi kiasi gani
Umekidhi matarajio yake
Amekidhi matarajio yako.
Kuna maisha bila yeye ?kama yapo yatakuwa vipi.
Baada ya hapo chukua hatua.
Hapo we ndo unakuwa umemfundisha kuchepuka bila kujua.Heshimu ndoa yakoHahahaha aisee mi naona nimeumbwa tofauti hata kama nina kimada nje lakini nikijua wife anatembea nje itaniumiza sana. Huu ndio ukweli japo mchungu
Simu yangu ni yako kivipi wakati kila mtu ana yake?Nimepitia michango yavwadau waliowengi, wamekiri kwa namna fulani kuwa wanaume tumeshindwa hata sisi kuelewa msingi mkuu wa kukaa na hivi viumbe vinaitwa wanawake.
Wahenga walusema
Mwanamke ni kiungo cha mwanaume.
Hili inatupasa kulielewa pia
Likaenda mbali zaidi na ikasemekana kuwa
Tunastahili kuishi nao kwa akili kubwa zsidi ya hii tunayoitumia sasa.
Wanaume turudi kwenye misingi, kwani tukilazimisha viumbe hivi vibadilike yatupasa tukumbuke pia kuwa
Kiumbe huyu mwanamke ni kiongoni mwa viumbe hatari na vya maajabu duniani
AseeePengine ushawahi kuisikia hii stori.
Kuna mmakonde mkewe alikua malaya sana jamaa akipita mtaani ananyooshewa vidole.
Siku hiyo anarudi nyumbani akakutana na watoto wa shule ya msingi wakisimulia kua wamempiga fiesta mke wa jamaa.
Jamaa akafika nyumbani kwa ghadhabu anamwambia mkewe "Iyeee kukitembeza ntaa njima umeona haitochi umewapelekea mpaka watoto baah, nitafungulia n'jiki chidi mia chaba na mimi nigawe nkundu ntaa wote huu...halafu tuwaulije nani ntamu"