mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Ndio hivo kama tunavoyasikia kila kukichaVinginevyo nini mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] au ndio mambo Kama ya huyo mchungaji huko Dodoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivo kama tunavoyasikia kila kukichaVinginevyo nini mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] au ndio mambo Kama ya huyo mchungaji huko Dodoma?
Sasa mkuu kuomba Sana hela na kusalitiana Vina uhusiano Gani? [emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16]Hii tabia ya kuwaza kwamba nyie ndo mnaumia sana mkisalitiwa alafu wanawake hawaumii sana ndo inatufanya tuwe tunawaomba sana hela.
Maana mnatuona sisi watoto tusojua maana ya kusalitiwa inaumaje
Kama hutaki kusalitiwa usisaliti
Kila mmoja anaumia hatukatai ndo maana nikasema kuliko kuuana ni bora kuachana.Hii tabia ya kuwaza kwamba nyie ndo mnaumia sana mkisalitiwa alafu wanawake hawaumii sana ndo inatufanya tuwe tunawaomba sana hela.
Maana mnatuona sisi watoto tusojua maana ya kusalitiwa inaumaje
Kama hutaki kusalitiwa usisaliti
Bado hujanjelewa happiness001. Mwanaume akishajua tu umelala na mtu mwingine hata uombe vipi msamaha hilo halitaondoka katika akili yake na Kama anaendelea kuishi na wewe basi jiangalie Sana kuna siku atakumaliza haifutiki ile kichwani atakuwa na hasira za mara kwa mara juu yako. Hii ni saikolojia ya mwanaume tofauti na mwanamke akifumania unaweza kumuomba msamaha na akasamehe kutoka Moyoni tumeumbwa tofauti Sana.Kinachotuuaga wanawake ni maneno mengi.
Kama umekosea na umefumwa alafu huwezi kuomba msamaha au kunyenyekea KAA KIMYA.
Itaokoa maisha yako
Pole sana kwa mawazo finyu uliyonayo. Kuvunjika kwa ndoa kunachangiwa na pande zote , either kutoka kwa mwanaume, au mwanamke. So mmoja wao au wote wakisahau kusimama ktk nafasi zao.. basi wajue game is over...Ukiona ndoa imevunjika ujue mwanaume kasababisha, (Ishi na mke wako kwa ajili)
Yes kuachana ndio suluhishoHapana kuua au kujiua!?? Sitokaa huo ujinga utokee.
Dawa nimoja, kuacha tu.
Hakuna mwenye ubora kwenye kuchepuka mkuu wote ni majanga tu.Ndio hali halisi bora sisi Wanaume tuchepuke sio umkute mke wako anachepuka aina uma sana. Ndio maana Mwanaume anachukua uamuzi wa kuua! Coz it real painfully.
Well said. UmemalizaMimi niseme tu ni kweli usaliti wa mwanamke hauvumiliki ni tofaut na mwanaume hiyo iko hivyo tangu kuumbwa kwa ulimwengu na hatuwezi libadilisha hilo.
Ila kitu kimoja nanyi wanaume mnajisahau sana jaribuni kutuheshim wake zenu maana tunajua dhahiri kuwa mnachepuka lakini msituonyeshe tafadhali fanyeni kwa akili na heshima,usipigiwe simu usiku,usitumiwe msg usiku,ukitumiwa picha futa,,hiyo simu yako ni yangu pia vipi nikishika nikakuta picha za ajabu za wanawake wengine?it hurts more.
Tambueni kwamba hakuna mwanamke mwenye akili timamu atachepuka endapo anatimiziwa kila mahitaji muhimu toka kwa mumewe na heshima anaipata wakati mwingine wanaume mnasababisha usaliti na mnajijua hamuwezi vumilia usaliti.
Nasi wanawake tuombe Mungu atupe uvumilivu na hekima ya kuhandle shida na namna sahihi ya kuzitatua
Mimi nipo. Na huwa sipindishi maneno kabisa. Kosa langu kweli, huwa nakubali. Kama si langu huwa sikubali.Cdhani kama kuna mwanaume wa kukubali ujinga anapofanya kosa kama wapo hongera kwao hili huwa linawezekana kwa wanawake tu
Mungu aiepushie mbaliNdio hivo kama tunavoyasikia kila kukicha
Ahsante kwa pole yako, mwanaume anatakiwa atumie akili kumpata mke/girl sahihi, ndo maana unaambiwa tafuta wa kufanana nae wewe, shida Wanaume wanaongozwa na hisia za sio akili wakati wa kuchagua, narudia tena tumieni akili kuchagua na kuishi nao(wake/girl)Pole sana kwa mawazo finyu uliyonayo. Kuvunjika kwa ndoa kunachangiwa na pande zote , either kutoka kwa mwanaume, au mwanamke. So mmoja wao au wote wakisahau kusimama ktk nafasi zao.. basi wajue game is over...
Mke, gf unaweza ishi nae kwa akili, lakin kama alikuja kwako kupata kitu fulani basi atakusaliti tu no way out. Lakin kama alikuja ili myajenge basi uhutasikia ujinga huo.
Muombe Mungu sana Hakuna akili za kibinadamu kwenye kumpata mume au mke boraAhsante kwa pole yako, mwanaume anatakiwa atumie akili kumpata mke/girl sahihi, ndo maana unaambiwa tafuta wa kufanana nae wewe, shida Wanaume wanaongozwa na hisia za sio akili wakati wa kuchagua, narudia tena tumieni akili kuchagua na kuishi nao(wake/girl)
Mbalizi sisi wanaume huwa tumeumbwa kufikiri kwa kutumia logic. Yaani 1 + 1 = 2.Hii inatawaliwa zaidi na nature, wanaume tupo tofauti sana na wanawake. Ninyi mara nyingi huwa mnasamehe tofauti na sisi kusamehe mke aliyeto.mbesha nje ya ndoa huwa tuko wagumu mno!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbalizi sisi wanaume huwa tumeumbwa kufikiri kwa kutumia logic. Yaani 1 + 1 = 2.
Ndio maana kama tulikuwa tunahudumia mwanamke, unamtunza , unatimiza majuku yako kama mume, alaf mtu achepuke, huwa inatuchanganya sana maana ni against logic.. haiwezekani 1 + 1 = 0.
Kwa wenzetu wanawake wanatumia hisia. Kwao 1 + 1 = 3,4,5. Means hisia zao zikiwatuma ni 5 basi jibu ni tano.
Hapa unaweza ona utofauti.
Hii ni kisomi zaidi sioMbalizi sisi wanaume huwa tumeumbwa kufikiri kwa kutumia logic. Yaani 1 + 1 = 2.
Ndio maana kama tulikuwa tunahudumia mwanamke, unamtunza , unatimiza majuku yako kama mume, alaf mtu achepuke, huwa inatuchanganya sana maana ni against logic.. haiwezekani 1 + 1 = 0.
Kwa wenzetu wanawake wanatumia hisia. Kwao 1 + 1 = 3,4,5. Means hisia zao zikiwatuma ni 5 basi jibu ni tano.
Hapa unaweza ona utofauti.
Sijasema kuwa hamjui kuumia. Kila mtu anaumia, infact mara nyingi anayeumizwa ni yule ambaye hamcheat mwenzake. Yule mwaminifu.Hii tabia ya kuwaza kwamba nyie ndo mnaumia sana mkisalitiwa alafu wanawake hawaumii sana ndo inatufanya tuwe tunawaomba sana hela.
Maana mnatuona sisi watoto tusojua maana ya kusalitiwa inaumaje
Kama hutaki kusalitiwa usisaliti
Hapo utakuwa hujafanya sawa. Kwamba mwanaume achepuke , wala si mwanamke.Ndio hali halisi bora sisi Wanaume tuchepuke sio umkute mke wako anachepuka aina uma sana. Ndio maana Mwanaume anachukua uamuzi wa kuua! Coz it real painfully.
Inawezekana kabisa, Inategemea na imani yako pamoja na jinsi gani unamwishia Mungu, hili jambo sio la kutumia akili za kibinadamu mkuu, ukiambiwa akili ujue ni akili ya kimungu mkuu, na hata unapowaza hili ukiwaza kibinadamu huwezi kukubaliana na hili, (Hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu)Muombe Mungu sana Hakuna akili za kibinadamu kwenye kumpata mume au mke bora