Wanawake mtambue mwanaume kuvumilia usaliti ni 1 kati ya 10 chezeni kwa step

Wanawake mtambue mwanaume kuvumilia usaliti ni 1 kati ya 10 chezeni kwa step

Biblia inaharalisha kuaachana pale mwanamke anapo cheat.
Ni kweli kbs, shida inakuja kwa upande hasa wa wanaume huwa kusamehe na kuyasolve kidiplomasia tunakuwa wagumu sana wengi wetu. Na ukichunguza sana wengi wanatoa sababu kama vile unakuta mwanamke umeanza nae mbali kuja kumuachia aende zake mtu anaona hapana matokeo yake yanakuwa mabaya kbs
 
Haswaaa.. wanawake wanatakiwa wajue kuwa mwanaume anafikiri in logic na wao wanafikiri kwa kutumia hisia.

Kwa vyovyote vile hakuna mwanaume dunian ambaye atavumilia dharau kutoka kwa mwanamke wake, au kutoka kwa mke anae mwamini, huyo mwanaume hayuko.

So wanawake kama mna shida fulani semeni, unaona kuna tatizo kwa mwenzio sema, kuna jambo alikufurahishi sema. Huku kununa , kukaa kimya alaf ukachepuka, au ukamganyia mwanaume dharau.. matokeo yake ndio haya
Hii tabia ya kuwaza kwamba nyie ndo mnaumia sana mkisalitiwa alafu wanawake hawaumii sana ndo inatufanya tuwe tunawaomba sana hela.
Maana mnatuona sisi watoto tusojua maana ya kusalitiwa inaumaje
Kama hutaki kusalitiwa usisaliti
 
Mkuu napokua katika mahusiano thabiti huwa sitoki nje ya mwanamke wangu kwaiyo hii kitu inanipaga hali fulan ya hasira napoona usaliti unanukia. Sasa mimj hasira nisehem yangu mbaya ambayo kila siku najitahidi niiepuke.

Kwamantiki hiyo., for the betterment of my health and my life ..kuachana is the only way to go !!!.
Kwa Staili Hii, Hasira Haziepukiki, Ima Utaua Au Utajiua, Ipo Siku Tu, Acha Kuwa na Mwanamke Mmoja.
 
Hii tabia ya kuwaza kwamba nyie ndo mnaumia sana mkisalitiwa alafu wanawake hawaumii sana ndo inatufanya tuwe tunawaomba sana hela.
Maana mnatuona sisi watoto tusojua maana ya kusalitiwa inaumaje
Kama hutaki kusalitiwa usisaliti
Naelewa saana unachokizungumzia. Tatizo moja kuuuubwa sana ni kwamba hii 50×50 itabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia kbs ni suala ambalo haliwezekani. Na utenganisho huu ni wa ki-Mungu mwenyewe vinginevyo angeacha jinsi moja tu duniani. Hata kwenye mgawanyo wa majukumu hakuweka usawa

Mambo haya yanahitaji busara sana pamoja na kuomba sana Mungu vinginevyo ni shida
 
Hapana kuua au kujiua!?? Sitokaa huo ujinga utokee.

Dawa nimoja, kuacha tu.
Sio Kwa Kupenda Inatokea tu, Mwanamke Unampenda Kupita Maelezo, Ndio Kakusaliti, Na Ameridhia Muachane, Kuacha Aende, Ni Tafsiri kuwa Umeshindwa, Sio Kirahisi kama Usemavyo, Matokeo Yake Ndio Hayo Tukose Wote, Maana Akiendelea Kuwepo Bado Utaendelea Kuumia tu, Hata Kama Mmeachana
 
Ndio hali halisi bora sisi Wanaume tuchepuke sio umkute mke wako anachepuka aina uma sana. Ndio maana Mwanaume anachukua uamuzi wa kuua! Coz it real painfully.
 
Sio Kwa Kupenda Inatokea tu, Mwanamke Unampenda Kupita Maelezo, Ndio Kakusaliti, Na Ameridhia Muachane, Kuacha Aende, Ni Tafsiri kuwa Umeshindwa, Sio Kirahisi kama Usemavyo, Matokeo Yake Ndio Hayo Tukose Wote, Maana Akiendelea Kuwepo Bado Utaendelea Kuumia tu, Hata Kama Mmeachana
Duuhh basi watu tunatofautiana. Na nawashangaaga jamaa ,wanaoachana na mwanamke alafu bado wanaanza kumuwaza.duuhh balaaa.

Au unamfuma mwanamke eti kisa unampenda kumwacha huweziii, kuumia unaumia??

Hii shida ya nn mkuu??? ... Mimi ni mtu wa kuchagua moja katika mawili. Nahilo nalolichagua nilazima liwe lafaida kwangu.
 
Sawa Mkuu, Kama Una Uwezo Wa Kuacha Na Ku Move On.
 
Hii inatawaliwa zaidi na nature, wanaume tupo tofauti sana na wanawake. Ninyi mara nyingi huwa mnasamehe tofauti na sisi kusamehe mke aliyeto.mbesha nje ya ndoa huwa tuko wagumu mno!

Hahahahaha kweli kabisa sasa inamaana nyie tu ndiyo Mna mioyo ya kuumia???
nyie mnakitombesha nje haswaaa ila ionekane kwetu saasaa balaa

cc Smart911
 
Back
Top Bottom